Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Tulia mchepuko wa JPM anadhani ana hati miliki ya hii Nchi Kua anajipangia

Ingekua story yako ya Chenge mleta mada ina ukweli Basi Tulia angetulia kwenye kiti cha unaibu na hasinge resign
 
Salam!!!
za chini ya kapeti kabisa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM kisha katibu Mkuu kiongozi Dk. Bashiru Ally ndiye anaendaliwa kuwa spika wa bunge mpya siku yoyote ataenda kuchukua fomu hiyo
kila la kheri dk. Bashiru
 
CCM ya sasa' haiwezi kufanya kosa kubwa kama hilo kwa mwanaCUF awe spika

USSR
 
Ajaribu kuchukua hiyo fomu aone kama hatafukuzwa uanachama
 
Kuchukua na kurejesha form ni leo,kachukua?
2B068A8B-DED8-4CA4-B7AD-54234447471D.jpeg
 
Salam!!!
za chini ya kapeti kabisa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM kisha katibu Mkuu kiongozi Dk. Bashiru Ally ndiye anaendaliwa kuwa spika wa bunge mpya siku yoyote ataenda kuchukua fomu hiyo
kila la kheri dk. Bashiru
Huo utakuwa msiba mwingine, Dr. ni mhafidhina na anaamini zaidi katika mawazo yake na wahafidhina wenzie, dunia ya leo inataka watu wanaoamini dunia inao watu wa mawazo na itikadi zaidi na yako na lazima washiriki katika kuleta maendeleo ya wote. CCM inakoseaga hapa!!??? yaani ataukijuiliza Job alikuwa na record gani mpaka kushika kazi ya kutumia akili na kutengeneza muelekeo wa nchi hii.

Matokeo yake muda wote alokuwa kiongozi hakuna la maaana atakalokumbukwa.
 
Salam!!!
za chini ya kapeti kabisa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM kisha katibu Mkuu kiongozi Dk. Bashiru Ally ndiye anaendaliwa kuwa spika wa bunge mpya siku yoyote ataenda kuchukua fomu hiyo
kila la kheri dk. Bashiru
Acha urongo.
Anaandaliwa na kina Nani?
Kina mzee Halima au kibajaj
 
Nyie ngojeni aingie mzee wa Toronto a.k.a sukuma ndani fyekeleaaaa mbali
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Spika wakati bunge lenyewe hatuna, tuna kundi la wana CCM wezi wa kura waliojipa ubunge bila ridhaa ya wananchi.
 
NI BAADA YA KUSHAURIANA NA TULIA AKSON, ANGETAKA SAANA BOSI WAKE AMALIZIE HADI 2025
 
Back
Top Bottom