Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

Nina PDF yake sema ndio nataka kufahamu unaitumiaje. Ya siku 9 nafikiri ndio itanifaa, hii inakuwaje?
Kwenye comments huko wameelezea kila kitu.
Mimi si mwandishi mzuri ila ukiweza wakati wa sala sali na zaburi ya 51.
Usisikize maoni ya kejeli toka kwa wasioamini, Mungu anajibu kwa uaminifu sana mimi ni shahidi Amini katika maombi unayo omba na unaweza yaandika pembeni ili usiyasahau.
Muda mzuri wa sala ni 8 au 9 alfajiri na ukiweza kufunga kwa walau masaa 10 au 12 itakua nzuri zaidi.

Unaweza kusali muda mwingine wowote ila inapofika mabye saa 8 au 9 hakikisha unasali na kusema shida yako kubwa inayokusumbua
 
Vizuri sana, unaisali muda gani na mara ngapi kwa siku?
Kusali ni mara moja kwa siku.
Muda unajipangia mwenyewe, ambao unaona kuna utulivu ila naona asubuhi na mapema ni muda mzuri.

Ukipata kitabu chake kina maelezo na muongozo wa sala za kila siku hadi unamaliza novena
 
Unatakiwa ufunge huku unasali,weka list ya mambo unayotaka yatimie kwenye karatasi and be specific unataka nini hasa maana unachoomba Mungu ndicho unachopata,mfano kjpona maradhi ya moyo,kurudisha amani na upendo kwenye ndoa yangu nk.ama unaweza eka shida moja ndo uiombee hadi mwisho
Kabla ya yote siku ya mwanzoni funga yako uombe toba na rehema na msamaha wa dhambi zako
Achilia vinyongo na waliokukosea samehe.
Mfungo si unaweza kuwa siku 9.ndani ya siku unaweza kufunga kwa kadri ya uwezo wako mfano mwisho saa 12,ama tatu kavu unaenda.
Ndani ya siku moja usali hiyo novena mara 15.unaingia faragha meni kwa moyo wako wote na kwa kumaanisha.
Kurahisha zaidi toa sadaka,toa sadaka hata kwa yatima ni sadaka.ni lazima hili

MFUNGO,MSAMAHA,SADAKA zingatia haya

Mi nliipata hii mahali na watu wanajibiwa.sema nina uvivu natarajia kuanza siku.

naomba ushuhuda wa jambo moja ulilojibiwa na hiyo sala tafadhali.
 
Kwenye comments huko wameelezea kila kitu.
Mimi si mwandishi mzuri ila ukiweza wakati wa sala sali na zaburi ya 51.
Usisikize maoni ya kejeli toka kwa wasioamini, Mungu anajibu kwa uaminifu sana mimi ni shahidi Amini katika maombi unayo omba na unaweza yaandika pembeni ili usiyasahau.
Muda mzuri wa sala ni 8 au 9 alfajiri na ukiweza kufunga kwa walau masaa 10 au 12 itakua nzuri zaidi.

Unaweza kusali muda mwingine wowote ila inapofika mabye saa 8 au 9 hakikisha unasali na kusema shida yako kubwa inayokusumbua

naomba ushuhuda nione sala inavyofanya kazi. May be unaweza nishawishi namimi ikanisaidia.
 
Hata kidogo!
Ukiendelea na mtizamo wa hivo utapigwa na kitu kizito!

Then utakumbuka huu uzi!

Spirituality ni chakula muhimu kwa Roho ya Mtu yeyote!

Don't ever try to joke or turn down his or her wish to learn more or to get helped!

naomba ushuhuda mmoja wa namna hiyo sala ilivyofanya kazi katika maisha yako.
kwa sasa kwangu its a joke, may be naweza kuichukulia serious kupitia ushuhuda wako.
 
Habari zenu watu wa Mungu,

Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.

Natanguliza shukrani.
Bila shaka kuna wadau wamejibu vema sana, na miongozo yao ni mizuri.
Zingatia haya waliyosema
1. Kufunga na kuomba toba
2. Kusali novena kwa uaminifu, siku 9
3. Ongeza siku 3 za shukrani
 
Back
Top Bottom