White men call their Ancestors saints, But you Africans cast and bind your Ancestry spirit calling them Ghosts, Then praying with the name of white man's Ancestor..!!!
Wazungu huwaita mababu zao watakatifu. Lakini wewe mwafrika una kemea na kufukuza Roho za mababu zako kwa kudhani ni Mizimu, Halafu unasali kuomba wafu wa wazungu wakusaidie..!!!
Umelogwa na nani?
Hao kina Rita wa Kashia ni Wafu kama walivyo mababu zako wa Afrika hawana Utakatifu wowote ule.
Dini ime kupumbaza na kupofusha Akili yako kufikiri. Hakuna mtakatifu yeyote dunia hii.
Utakatifu ni dhana za kufikirika illusions.
Fanya kazi, Tafuta hela.
Amkaaaa...!!!