Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
YeahNi vyema kusali Alfajiri au usiku wa manane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahNi vyema kusali Alfajiri au usiku wa manane.
Tangia Russia aanze Military Operations kule Ukraine, idadi ya watoto waliokufa mpaka sasa wanakadiriwa kufika 500. Mbona Mungu amewaacha hawa innocent beings wateseke hivi??Kwenye comments huko wameelezea kila kitu.
Mimi si mwandishi mzuri ila ukiweza wakati wa sala sali na zaburi ya 51.
Usisikize maoni ya kejeli toka kwa wasioamini, Mungu anajibu kwa uaminifu sana
Amua lako ila usikejeli walioamua lao au inakuwasha? Mungu atahukumu kila mtu kwa namna zake.Tangia Russia aanze Military Operations kule Ukraine, idadi ya watoto waliokufa mpaka sasa wanakadiriwa kufia 500. Mbona Mungu amewaacha hawa innocent beings wateseke hivi??
Kamwe siwezi kuunga mkono matendo ya dhihaka katika Imani za watu, lakini hakuna jipya chini ya jua.Christinanity
Budhaism
Yudaism
Islamic...
Nk
Usijaribu kudhihaki namna yao ya Kuomba au kusali!
Utakuja kushangazwa...!
Kwanza sijakuuliza wewe, pili badala ya kunijibu unanituhumu kufanya kejeli. Ni wapi nimetoa statement ya kejeli?Amua lako ila usikejeli walioamua lao au inakuwasha? Mungu atahukumu kila mtu kwa namna zake.
Wewe sidhani hata kama unaijua historia ya novena wewe naona una sali tu kwa vile umekuta watu wanasaliTaja desturi ya rome hapo, ata moja unipe na reference, yani watu wanabwatukaga sana. Mimi ntakwambia kwanini tunafanya hivyo, we unaijua rome wewe? Tatizo mmeshiba conspiracy theories , alafu mna pride, zao la shetani, mnakoshani sio yani ndio kwenyewe kwa surprise sasa😂😂 sisi tupo tunawachora tu.
kama nataka kisali kwaajili ya kuangamiza walio niibia vipi mkuu.manakuna laia wameniibia na hawataki kurudisha mali zagu.Unatakiwa ufunge huku unasali,weka list ya mambo unayotaka yatimie kwenye karatasi and be specific unataka nini hasa maana unachoomba Mungu ndicho unachopata,mfano kjpona maradhi ya moyo,kurudisha amani na upendo kwenye ndoa yangu nk.ama unaweza eka shida moja ndo uiombee hadi mwisho
Kabla ya yote siku ya mwanzoni funga yako uombe toba na rehema na msamaha wa dhambi zako
Achilia vinyongo na waliokukosea samehe.
Mfungo si unaweza kuwa siku 9.ndani ya siku unaweza kufunga kwa kadri ya uwezo wako mfano mwisho saa 12,ama tatu kavu unaenda.
Ndani ya siku moja usali hiyo novena mara 15.unaingia faragha unasali kisha unaendelea na mambo mengine.hakikisha mara 15
Uwe unasali kwa moyo wako wote na kwa kumaanisha.
Kurahisha zaidi toa sadaka,toa sadaka hata kwa yatima ni sadaka.ni lazima hili
MFUNGO,MSAMAHA,SADAKA zingatia haya
Mi nliipata hii mahali na watu wanajibiwa.sema nina uvivu natarajia kuanza siku.
😀 😀 😀 😀 😀 mimi nina mengi sana ya kuongea na Mt Rita, tuwe tunasali saa nane usiku ndyo muda mzuri
Mtumishi hii ya 3 kavu ndio ipojeMimi huwa nasali huo muda kunakua kumepoa.
Afu kuna ile 3 kavu aiseee!!! Ile funga kazi lazima majibu yatoke kabla hujamaliza mfungo
Ile novena ina mengi sana ni vile binadamu wabishi
karibu pm nikuelekezeNamimi nataka nifundisheni jamani hata pm... shida ni moja tu kufunga siwezi kwa sababu za kiafya ila imani ninayo kubwa sana
🤣🤣🤣☹️Waroma ndio nani? Au unamaanisha wakatoliki?
Mtumishi hii ya 3 kavu ndio ipoje
Namimi nataka nifundisheni jamani hata pm... shida ni moja tu kufunga siwezi kwa sababu za kiafya ila imani ninayo kubwa sana
UmeivaSio hivyo bro, yaani hayo masaa 15 unaset alarm kila baada ya lisaa limoja unasali unapumzika, likifika tena unasali ukimaliza unapumzika mpk unamaliza hayo masaa 15
Umeiva
Haya mambo niliona ni upuuzi nikaacha nakwenda kanisani kabisa, yaani unakaa unategemea binadamu mwenzako akusaidie ufanikishe mambo Yako ilihali yeye mwenyewe ameozea aridhini, Dini hizi zililetwa kutupumbaza akili tu na kutuongezea umasikini, ulaya watu wanachangishana pesa wanajenga shule full equipped, watoto wao wanapata maarifa ya kupambana na maisha, sisi tunachangishana pesa kujenga mikanisa mikubwa tunaenda kuimba litania ya Lita na Maria, na kunywa maji ya upako Ili tupate maisha mazuriHabari zenu watu wa Mungu,
Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.
Natanguliza shukrani.
Hii sala inaweza kumtia mtu ukichaa? Kuna watu nataka niwasomee novena wawe machiziNenda kwenye play store download app ya Mt.Rita wa Kashia kuna sala zote pale.
Kama tayari unayo unataka kusali ya masaa 15 au ya siku 9