Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Tunaanzaga kufunga asubuhi hadi jioni.unafungulia.au uneweza kuendelea vile unamudu mfano siku mbiliNashukhuru sana bwana na mimi, kufunga inabidi nianze kufunga saangapi na mda wa kula uwe saa ngapi?
Kwenye comments huko wameelezea kila kitu.Nina PDF yake sema ndio nataka kufahamu unaitumiaje. Ya siku 9 nafikiri ndio itanifaa, hii inakuwaje?
Unaijua bible??Huyu Rita yupo kwenye bibli?kama hayupo Ina maana Mungu au biblia haitoshi mkaamua kuongea watu wenu na kuwapa utakatifu?
Kusali ni mara moja kwa siku.Vizuri sana, unaisali muda gani na mara ngapi kwa siku?
Unatakiwa ufunge huku unasali,weka list ya mambo unayotaka yatimie kwenye karatasi and be specific unataka nini hasa maana unachoomba Mungu ndicho unachopata,mfano kjpona maradhi ya moyo,kurudisha amani na upendo kwenye ndoa yangu nk.ama unaweza eka shida moja ndo uiombee hadi mwisho
Kabla ya yote siku ya mwanzoni funga yako uombe toba na rehema na msamaha wa dhambi zako
Achilia vinyongo na waliokukosea samehe.
Mfungo si unaweza kuwa siku 9.ndani ya siku unaweza kufunga kwa kadri ya uwezo wako mfano mwisho saa 12,ama tatu kavu unaenda.
Ndani ya siku moja usali hiyo novena mara 15.unaingia faragha meni kwa moyo wako wote na kwa kumaanisha.
Kurahisha zaidi toa sadaka,toa sadaka hata kwa yatima ni sadaka.ni lazima hili
MFUNGO,MSAMAHA,SADAKA zingatia haya
Mi nliipata hii mahali na watu wanajibiwa.sema nina uvivu natarajia kuanza siku.
Ndg,nimesema hapo chini nna uvivu wa kufanya..ila natarajia.naomba ushuhuda wa jambo moja ulilojibiwa na hiyo sala tafadhali.
Kwenye comments huko wameelezea kila kitu.
Mimi si mwandishi mzuri ila ukiweza wakati wa sala sali na zaburi ya 51.
Usisikize maoni ya kejeli toka kwa wasioamini, Mungu anajibu kwa uaminifu sana mimi ni shahidi Amini katika maombi unayo omba na unaweza yaandika pembeni ili usiyasahau.
Muda mzuri wa sala ni 8 au 9 alfajiri na ukiweza kufunga kwa walau masaa 10 au 12 itakua nzuri zaidi.
Unaweza kusali muda mwingine wowote ila inapofika mabye saa 8 au 9 hakikisha unasali na kusema shida yako kubwa inayokusumbua
Hata kidogo!
Ukiendelea na mtizamo wa hivo utapigwa na kitu kizito!
Then utakumbuka huu uzi!
Spirituality ni chakula muhimu kwa Roho ya Mtu yeyote!
Don't ever try to joke or turn down his or her wish to learn more or to get helped!
Christinanitynaomba ushuhuda mmoja wa namna hiyo sala ilivyofanya kazi katika maisha yako.
kwa sasa kwangu its a joke, may be naweza kuichukulia serious kupitia ushuhuda wako.
Bila shaka kuna wadau wamejibu vema sana, na miongozo yao ni mizuri.Habari zenu watu wa Mungu,
Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.
Natanguliza shukrani.
Christinanity
Budhaism
Yudaism
Islamic...
Nk
Usijaribu kudhihaki namna yao ya Kuomba au kusali!
Utakuja kushangazwa...!
Nilikua na shida ambayo sikuwa na suluhisho so nikaamua kurudi magotini kuipitia kwa Mt.Rita ila mimi nilisali ya masaa 15, na matokeo niliyaona baada ya siku 9
Nenda ukakanyage mafuta huku tuachie sie watabeachana na ushirikina na upagani wa kirumi. soma Biblia ukue kiroho.
πππ Nimekupuziatoa ushuhuda wako humu tumtukuze mungu wako na tuone uhalisia wa hiyo sala. Unamuogopa nani humu?
BADALA UMSHAURI ASOME BIBLIA WEWE UNAMPOTEZA ASOME UPUUZI HUO,SASA NOVENA NDIO NINI NA KWENYE BIBLIA IKO KITABU GANI? UPAGANI MTUPU!!Nenda kwenye play store download app ya Mt.Rita wa Kashia kuna sala zote pale.
Kama tayari unayo unataka kusali ya masaa 15 au ya siku 9