Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?
Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?
Wasichojua Seleous ni kubwa sana. Yaani anzia Morogoro, Ruvuma, Lindi nk.Wanayama watahamia shemeu nyingine...
Yaani nchi ikose umeme kwa sababu ya kuwajali wanyama ambao wanaweza sogea mapori mengine...eboh!
Hifadhi ya wanyamaporiHatuna
mbuga ya selous
Wanyama ni sensitive kuliko unavyodhani, wao hutambua hatari in advance na hukimbilia miinukoni mapemaNadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Ni matatizo ya akili zetu kwani hata kufanya utafiti kwa majirani hatutakiMtihani Sana.
Mkuu pole sana na kule kwenu Arusha kuna bwawa gani limejengwa? Machozi ya wana Arusha nani atayafuta?ππππππNadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?
Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?
Mods, gonga ban hii mutuUnalipwa kiasi gani kuandika huu utoto kila siku...
Kiwango unacholipwa kinazidi utu wako? au bora uingize siku!
Kimsingi hili bwawa lilipingwa tangu Nyerere, na waliopinga wengi walikua wabongo...
Tukifananisha athari za bwawa hilo na faida zake, faida zipo nyingi endapo viongozi wako serious kuliko athari...
Mabwawa yanaleta athari Moscow sembuse kwetu?
Kumanina wallah.