nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kwenye uchawa jitahidi kutafakari pia...Mods, gonga ban hii mutu
Kuna mambo wanaokutuma wanajua wakiyatamka hadharani ni aibu kubwa itawakuta...
Wanatafuta mtu mjinga asiyejua thamani yake...
Unafikiri Januari na Nape wanalipenda hilo bwawa? Ila umewahi kusikia wanatamka hadharani!
Ni aibu kuwa kinyume na maslahi ya watu wengi... hiki ndio kinafanya utumike wewe kichwa panzi...