Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

Mods, gonga ban hii mutu
Kwenye uchawa jitahidi kutafakari pia...

Kuna mambo wanaokutuma wanajua wakiyatamka hadharani ni aibu kubwa itawakuta...

Wanatafuta mtu mjinga asiyejua thamani yake...

Unafikiri Januari na Nape wanalipenda hilo bwawa? Ila umewahi kusikia wanatamka hadharani!

Ni aibu kuwa kinyume na maslahi ya watu wengi... hiki ndio kinafanya utumike wewe kichwa panzi...
 
W
Wanyama ni sensitive kuliko unavyodhani, wao hutambua hatari in advance na hukimbilia miinukoni mapema
Wengi hawajui haya anafikiri wanyama ni mafalaaaaaa wale hatari wanaisoma mapema sana
 
Wasichojua Seleous ni kubwa sana. Yaani anzia Morogoro, Ruvuma, Lindi nk.

Na pia hapo miaka ya zamani kabla ya shughuli za kibinadamu kuwa za kiwango kikubwa...

Selous, Mikumi, Ruaha ilikuwa ni mbuga moja...
 

Kivip? Kuna wakati tunapenda sana kuzua. Wanyamapori wako kwenye eneo ambalo bwawa la Nyerere lipo. Ila bwawa hilo halijamaliza maeneo ya wanyama kuishi na hilo halitotokea.
Ujuaji wetu kama kawaida
 
Google auto translator:

By Chiembe

Who monitors the Tears of wildlife in the Selous National park, who are found in the middle of Julius Nyerere Hydro Power Project found in Tanzania ?​

I think we should not only look at floods affecting human who live in the Rufiji river delta caused by Julius Nyerere Hydro Power dam, but should also raise concern for the wild animals that are in the Selous National park the second largest in Tanzania as the huge Julius Nyerere dam is found in the middle of the National Park, and how much do these floods affect them?

This is a reserve that is in the list UNESCO's World wonders with precious natural resources. Ministry of natural resources, what do you say?

Also, this reserve has huge uranium minerals, as a country we have to be concerned at this so that it does not interfere with the already mining project to extracting uranium.

And on the side Of the contractors on the site who are managing the uranium project, do they have a specialist who is assigned to look at potential environmental impact if spillage of uranium occurs and how to prevent such a catastrophic disaster to farms and species in the Rufiji basin and to the Indian ocean ?
 
Bwawa limeishajengwa kwa aslimia kubwa na miradi ni km unaelekea kukamilika hivi mie nachoona wale watanzania ambao wamekumbwa na hili ni bora wakatafutiwa Maeneo ili wahamie maisha yaendeleee
 
Mkuu unatumia maembe mabichi ndimu au mbirimbi nikutumie maana shambani kwangu vimeshamiri sana!
Sio kila uzi ucomment unajitia aibu. Watu wana wasilisha mada serious we unaleta utani. Pumbavu kabisa. Nenda kule MMU maamuma wewe.
 
Huna HOJA ,

Maji ni uhai, mafuriko ya mito inayopita Serengeti imeathiri vipi wanyama,

Mbona mambo yanakwenda sawa!!

Umeme una faida kubwa kuliko hayo madini ya urani mnayogawiana vitalu kitapeli.
 
Wengine miaka ya 80, 99 shule za msingi tulisoma sana vitabu vinavyozungumia athari za mafuriko ya mto rufiji, acheni kusingizia bwawa la juzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…