winston20 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2020 Posts 1,116 Reaction score 2,303 Apr 11, 2024 #41 Kumbe Selou ni ndogo kiasi Icho mpaka kuwafanya wanyama wakose pa kwenda?
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Apr 12, 2024 Thread starter #42 Rabbon said: Wewe na kundi nyuma Yako mnatakiwa kufungiwa jiwe la kusagia Kisha mtoswe Baharini!! Maana ulichoandika, ni uhaini kamili. Click to expand... Uhaini wa konyo
Rabbon said: Wewe na kundi nyuma Yako mnatakiwa kufungiwa jiwe la kusagia Kisha mtoswe Baharini!! Maana ulichoandika, ni uhaini kamili. Click to expand... Uhaini wa konyo
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 12, 2024 #43 nyakubonga said: Tukifananisha athari za bwawa hilo na faida zake, faida zipo nyingi endapo viongozi wako serious kuliko athari... Click to expand... Kumbe faida bado mpaka viongozi wawe serious? Sioni Huo walioko serious mimi.
nyakubonga said: Tukifananisha athari za bwawa hilo na faida zake, faida zipo nyingi endapo viongozi wako serious kuliko athari... Click to expand... Kumbe faida bado mpaka viongozi wawe serious? Sioni Huo walioko serious mimi.