DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ni mtekaji hana hata lakiUnaniangusha. Ujue we ndo role model wangu sasa unavyokimbia million nijifunze nini kutoka kwako...
Umeona eee toka lini fisi akamkubali simba wote wanataka nyamaUna wivu, mbona mieee nalijua hiloo...
Usijali bhanaa
nilinunua vumbi la kongo rasmi kwa ajili yako, nikasema hii milioni haipotei bure . machale yakakucheza. una bahati sana ,mmh imgenitokea puani
DuhIngawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)
Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)
Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!
Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?
Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika
Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila anza Na huyu lemutuznaomba uendelee na utafiti uniletee wenye pesa .. nashukuru
Inashangaza sana kwa kweli.
ha haha wewe milioni unakamia mbunye hivyo ukitoa tatu na zaidi si utaua .. ote mbenilinunua vumbi la kongo rasmi kwa ajili yako, nikasema hii milioni haipotei bure . machale yakakucheza. una bahati sana ,
Wacha we...
tena ya papo kwa papo no mkopoUnaniangusha. Ujue we ndo role model wangu sasa unavyokimbia million nijifunze nini kutoka kwako...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38].... bora umenishtua mapema. Asijesiku akanijia na mkwara wa million kumbe finca..huyo ni mtekaji hana hata laki
Kunywa krolokwini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fame is so heavy than anything, ila watu wanatafuta kwa juhudi zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sivumi lakini nimo...Nakuona nakuonaa
tatu sitoi ata kwa dawaaha haha wewe milioni unakamia mbunye hivyo ukitoa tatu na zaidi si utaua .. ote mbe