Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wanawapenda hata bila kujua wakoje au sio

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh

Wewe mleta mada si wa kiume wewe?

Sasa unaanzaje kuwapenda wanaume wenzako?

Hapo kwa wadada umewachomekea tu,inaonesha wewe ndio unawahusudu hao uliowataja na hizo ni dalili za ushoga wa waziwazi kabisa.
 
Le mutuz na Smart werevaa sijawahi kuwaelewa...

Umemsahau
BAK
Kaboom
Asprin

Na wengine nimesahau..
Wacha we...

Kumbe nami sivumi lakini nimo

IMG-20131005-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom