Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wachochezi wameniambia eti umeniambia neno bayaπŸ™‚πŸ™‚ lakini najua huna hulka za kutumia maneno mabaya
πŸ˜›πŸ˜›
Ushawaita wachochezi kuna kipi tena jaman BAK zaidi ya kuwapuuza. [emoji12] [emoji12]

Ila sio kwa uchokozi huo lol. [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…