Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Kugawana na mwenzangu its okay. Huyu mleta uzi hapana aisee...mwache mwanaume apambane na hali yake. Umekata panga tena! 35!!?? Acha bana mkuu!
 


Mwanamke hatakiwi stori ndefu, hizo unawaachia walimu darasani.
 
Ulichoongea kama kina ukweli kabisa aisee, kama huyo nilomtaja sio maarufu na inaonekana ni booonge la MWANAUME.
Haha usinikumbushe last time ameniquote, nikasema huyu ntamjibu akili zikinijia vizuri, otherwise I'll end up embarrassing myself, ndo nakumbuka hapa kuwa sikumjibu hadi leo[emoji85] . That dude is smart khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…