Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mzee baba thanks for the love, lkn wanaume are made to hustle, let's keep it real. Niliplan kutoa laki kwa bi'shosti Demi, naona kaleta maringo mwenzie Agata kaja kuovertake. So it's fair wote wanapata 50 - 50 lkn na wewe ukitaka kutelezea ganda la ndizi tunaweza pia kuigawa hiyo laki ikawa 35 - 35 [emoji23]
Kugawana na mwenzangu its okay. Huyu mleta uzi hapana aisee...mwache mwanaume apambane na hali yake. Umekata panga tena! 35!!?? Acha bana mkuu!
 
ah wapi!umeona wanawake tulivyo na hisia zaid eh!sie hatuangalii avatar kama nyie!sie hata unavyocomment ni kipimo tosha kuwa unaweza ng'oa MZIGO!...mimi mwanaume anaeandika andika kila sku 'mashine,DUSHE,' mara aongelee kibamia things uwiii asinifate hata PM !Sitak hata salaam zao! wanachefua!

hamjuag tu...ukitaka umuwin mwanamke anzia mbaliiii! kadr mnavyoendelea kuchat unaona kbs kila mtu anamhitaj mwenzake! sasa ww endelea kutupigia mitarumbeta ya mwanaume MACHINE,DUSHE! utang'oa wa design yako


Mwanamke hatakiwi stori ndefu, hizo unawaachia walimu darasani.
 
Ulichoongea kama kina ukweli kabisa aisee, kama huyo nilomtaja sio maarufu na inaonekana ni booonge la MWANAUME.
Haha usinikumbushe last time ameniquote, nikasema huyu ntamjibu akili zikinijia vizuri, otherwise I'll end up embarrassing myself, ndo nakumbuka hapa kuwa sikumjibu hadi leo[emoji85] . That dude is smart khaaa
 
Back
Top Bottom