Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?


Sijasahaulika kweli?!'!?? Amaa?
 
Kwahiyo ndio hautoi maelezo?

Umeona eeeeh! Nilimquote nikajikuta kila ninachoandika nafuta, mwisho nikaishia kumpongeza tu.


Hahahah!, umenichekesha jamani eti ukaishia kumpongeza tu..[emoji28]
Ile namba nyingine asee, kichwa haswa!
Inabidi uwe umejipanga vizuri kama vile unaenda kwenye Interview kabla ya kujibu cos unaweza kupewa darasa la nguvu ukasahau hata ulicho comment, ukabaki unasema Yes Sir!
Wakati unatakiwa kuandika Essay...lol!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hakuna foleni Sakayo, uchakaramu wa BAK tu ndiyo unafanya uamini hivyo. Ila namshukuru Mungu kusema kweli kwamba maandishi yangu humu yamefanya baadhi wavutiwe nayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ujue itabidi nikutafute na mimi uniambukize huo uchakaramu.

[emoji124] [emoji124]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…