Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?



basi tumepishana aic!binafsi mie nammgwaya! namuogopa mwanamme mkorofi maana sijui ushari aic! GuDume popote ulipo mie nakugwaya sana sana! na kweli huyu ni saa mbovu!
 
Gudume=komeo lachuma [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Bwana mdogo unatakiwa ukapimwe mkojo mdogo....maana hii mada yako ni moja ya mada chonganishi.....inaweza kusababisha maafa....hasa kwa vijana ambao majina yao hayapo kwenye oorodha ya sukari ya walimbwende.....!!!

Unatakiwa ureport central kwa hiyari yako kabla dola haijatumia mkono wake dhidi yako....

 
Mkuu hao wanaolalamika sioni sababu ya wao kulalama maana wahusika wamekataa hata kuwaadd!!!
Cha msingi wamuone mshana Jr au mtimkavu wasafishe nyota!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao wanaolalamika sioni sababu ya wao kulalama maana wahusika wamekataa hata kuwaadd!!!
Cha msingi wamuone mshana Jr au mtimkavu wasafishe nyota!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe kwa kuwa ndio muanzishaji wa mada utawajibika kwa lolote litakalowatokea hao vijana.....

Maana juhudi wanazozifanya ni kubwa halafu haiwezi wasiwe kwenye list....
 


huyu kaka pia huwa namgwaya! lol!upo serious kweli kweli! jus thnking tht KikulachoChako
 
User generated content hii mpwa, kila kitu kinaandikwa. Huu ndio ulimwengu wa dijitali, mashudu na pumba zote huchangamywa na nafaka.

Kweli mpwa nimeelewa.....kuna muda natakiwa kurelax kwa kutembelea nguzo kama hizi.....

Vipi mpwa na wewe umebahatika kuwa kwenye list....!!?

Au wewe si miongoni mwa wale wapendwa....!!?
 
Namzimikia The Boss naomba umuweke hapo kwa list please.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Si unajua Sakayo hajui hivi vinywaji vyetu ye anataja tu anachokisikia... Smirnoff nakuachia wewe mama. Ilinitendaga kitu siwez isahau.. acha nipambane na Heineken na Glenfidich tuu..

Glenfidich, hakika unajiweza.

Naomba nipeleke na mimi kwenye huo Mgodi wa hela
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anayegombewa humu Jf teh teh zaidi naona mwagombana....

muosha rungu mbona haujamuweka Mshana jr kwa list

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…