MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Huyu mzee wa majanga sana, visa na mikasa... Atakuwa sawa na baba ubaya kwa kweli... Jamaa wameamua kumbania. Mi nina ushahidi wa watu wanne wa jinsia ke wakiuliza huyu gudume anafananaje na ni sababu nlitania tu kuwa namfaham sana. Basi wadada wakanifuata wanataka waonane naye. Na nasikia si bahili pia kama mtu anashida.
Kiuhalisia nmemfahamia humu humu jf huwa sometime akili yake ikitulia anashuka madini sana na ni mtu wa watu.sema usimtibue. Ni kama saa mbovu....
basi tumepishana aic!binafsi mie nammgwaya! namuogopa mwanamme mkorofi maana sijui ushari aic! GuDume popote ulipo mie nakugwaya sana sana! na kweli huyu ni saa mbovu!