Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Ko niagize sioo
Mpenda ubuyu type 2 nakuona

nakuona!

Agiza tu uchangamshe mdomo sio mbaya . Si kwa habari hizi za loooooongi za mke mwenza kha khaa khaa Nacheka kwa dharaaaaaaau lol!!!
Mengine Wacha nifunge domo langu mie. Sakayo I'm out Wacha niende swimming kidogo sitaki kesi mie mimi mtoto mzuri wa Smart911 nisiejua kugombana mwenzio.

Mahondaw wa Smart911

01d922df2d5b53edc7a4c660811b53be.jpg
 
Mpenda ubuyu type 2 nakuona

nakuona!

Agiza tu uchangamshe mdogo mbaya . Si kwa habari hizi za loooooongi za mke mwenza kha khaa khaa Nacheka kwa dharaaaaaaau lol!!!
Mengine Wacha nifunge domo langu mie. Sakayo I'm out Wacha niende swimming kidogo sitaki kesi mie mimi mtoto mzuri wa Smart911 nisiejua kugombana mwenzio.

Mahondaw wa Smart911
Aiseeee
 
Nyani Ngabu unaitwa huku eti ushazimikiwa na wangapi humu

Oh yeah?

Mimi si tu nazimikiwa....pia nipo influential kwa wengi tu humu.

Mfano...nilipokuja na USA baby....watu wakaiga. Ikawa kila kitu 'baby'.

Nikaja na 'your opinion of me is not my reality'....nayo ikaigwa 😀

Hata 'saying it so doesn't make it so' nayo imeigwa.

So I'm 'da man' girlfriend......often imitated but never duplicated.

USA baby.....haya chagua begi la mgongoni hapo.

20170725_202726.jpg
 
View attachment 558015

na ulivyokuja na Miafrika ndivyo tulivyo tulikuzimikia
 
Oh yeah?

Mimi si tu nazimikiwa....pia nipo influential kwa wengi tu humu.

Mfano...nilipokuja na USA baby....watu wakaiga. Ikawa kila kitu 'baby'.

Nikaja na 'your opinion of me is not my reality'....nayo ikaigwa 😀

Hata 'saying it so doesn't make it so' nayo imeigwa.

So I'm 'da man' girlfriend......often imitated but never duplicated.

USA baby.....haya chagua begi la mgongoni hapo.

View attachment 558015
hahahahaha...... umenikumbusha ileya ; Mange Kasema, Mimi ni nani mpaka nibishe? ;
 
Teh teh teh....naona keshaanza tena kusema.

Sijui ile likizo yake ya kutosema kuhusu mambo ya siasa ishaisha....

'We unabisha nini wakati Mange keshasema' 😀😀

Kwa kweli kosa vyote lakini si akili aisee. Kukosa akili ni laana kubwa sana.
 
Wanashobokewa au unawashobokea?
Wanashobokewa na nani??
Kwa kifupi sijaona labda useme umekuja na lifekero lako ujifungulie Uzi ujiweke kwenye list.
Mwanaume michango ya maana bana, na siyo idadi ya wadada anao chitchat nao [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Kwenye hiyo list..
Nyani Ngabu
le mutuz
The bold
ONTARIO
Ongeza
The Boss
mshana jr
Mzizi mkavu
Na wengineo wenye michango inayoeleweka,
Sasa baada ya kuweka list yangu nasema hiviii..nawashobokea kwa sababu wana michango ya maana inayojenga.
Uki mind njoo Nipige nipo nyumbani.
 
Oh yeah?

Mimi si tu nazimikiwa....pia nipo influential kwa wengi tu humu.

Mfano...nilipokuja na USA baby....watu wakaiga. Ikawa kila kitu 'baby'.

Nikaja na 'your opinion of me is not my reality'....nayo ikaigwa 😀

Hata 'saying it so doesn't make it so' nayo imeigwa.

So I'm 'da man' girlfriend......often imitated but never duplicated.

USA baby.....haya chagua begi la mgongoni hapo.

View attachment 558015
Hata wale kina fidodido simu hizi wamepumzika kukufatilia ee
Wangejua ligi yako si ya mchezo mchezo wangenyamaza

Niletee hilo la pink sawaa na simu yangu
Ujue nakusubiriaga tu uje ,,umeniweka wewe
 
Wanashobokewa au unawashobokea?
Wanashobokewa na nani??
Kwa kifupi sijaona labda useme umekuja na lifekero lako ujifungulie Uzi ujiweke kwenye list.
Mwanaume michango ya maana bana, na siyo idadi ya wadada anao chitchat nao [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Kwenye hiyo list..
Nyani Ngabu
le mutuz
The bold
ONTARIO
Ongeza
The Boss
mshana jr
Mzizi mkavu
Na wengineo wenye michango inayoeleweka,
Sasa baada ya kuweka list yangu nasema hiviii..nawashobokea kwa sababu wana michango ya maana inayojenga.
Uki mind njoo Nipige nipo nyumbani.

Happy weekend Angel....😉
 
Back
Top Bottom