Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aya mama,Achana navyo kabisaa havikufai ujue
Ndo kwa wakweBibiee unataka kukaribia Umangini?
Sent From Ikulu-Magogoni street
We hufai kabisa... ndo mnaoletaga kipindu pindu mezani kwa kukaribisha nzi...Labda juice
Heee!!Mbona mnanishambulia jamani? Mada inauliza nampenda nani, unaniambia niache story za mitandao kivipi wakati swali limeulizwa mtandaoni na watu tunaotakiwa kuwataja ni wa hapa mtandaoni?
Nikimtaja wa huku mtaani utamjuaje sasa?
.
.
Pia nimesema nahisi ni mtafutaji means sina uhakika bali ni hisia. I like him anyway..acha wivu taja wako unayemuadmire!
Cc: ONTARIO , Popote ulipo tambua kuwa nakuadmire!
Hahahahahahah mie kuna stage nimerukaga!naziona humu sasa! chei cheit! mtu anapanick live kisa mwanamume wa jf hahaha yupo tayar kwa lolote qwi qwi!! ngj nikafungue sabato mie....
EwaaaHuyu maji ya kunywa na vyoda vingiii ndiyo raha yake (Wingi wa soda = vyoda)
Nipitie twende wote Mbiti[emoji12] [emoji12] [emoji1] magomeni au mwenge?
Karibu, ila uwe makiniNdo kwa wakwe
Cc Asprin
Kumbe jeeAmaaaaa..
Ningekuwa ONTARIO ningeanzia hapa hapa, ila penye miti huwa wajenzi hawapo.[emoji12] [emoji1]Mbona mnanishambulia jamani? Mada inauliza nampenda nani, unaniambia niache story za mitandao kivipi wakati swali limeulizwa mtandaoni na watu tunaotakiwa kuwataja ni wa hapa mtandaoni?
Nikimtaja wa huku mtaani utamjuaje sasa?
.
.
Pia nimesema nahisi ni mtafutaji means sina uhakika bali ni hisia. I like him anyway..acha wivu taja wako unayemuadmire!
Cc: ONTARIO , Popote ulipo tambua kuwa nakuadmire!
Unajua inauma ingawa haina makombo!Acha wivu basi. Si umetuuliza? Tunakujibu unatuzodoa
aiseeNitaendelea kukusisitiza, acha mambo ya kitoto, mambo ya kishamba.
Hata huyo mchizi inaweza kuwa anakuvumilia tu, na km halion hilo basi na yeye mshamba tu
Sent From Ikulu-Magogoni street
Siwezi kutamani ID ya mtu wala avatar ya mtu hata siku moja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna Hata mmoja hapo
Ungependa kuonja makali ya rungu lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi muona?Ningekuwa ONTARIO ningeanzia hapa hapa, ila penye miti huwa wajenzi hawapo.[emoji12] [emoji1]
Hahaha
Hebu nipe id yako ya zamani....
Unataka kusema HR666Mbona yule mkaka sukari ya warembo wa humu MMU hujamuwekaa?
love thé love or hâte thé love.....
Hahaha
Hebu nipe id yako ya zamani....
Nimetumia 0% energyHeee!!
Bibie umeandika yote haya?
Hata hivyo sikuwa serious, umetumia nguvu sana
Sent From Ikulu-Magogoni street