Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mbona mnanishambulia jamani? Mada inauliza nampenda nani, unaniambia niache story za mitandao kivipi wakati swali limeulizwa mtandaoni na watu tunaotakiwa kuwataja ni wa hapa mtandaoni?
Nikimtaja wa huku mtaani utamjuaje sasa?
.
.
Pia nimesema nahisi ni mtafutaji means sina uhakika bali ni hisia. I like him anyway..acha wivu taja wako unayemuadmire!

Cc: ONTARIO , Popote ulipo tambua kuwa nakuadmire!
Heee!!
Bibie umeandika yote haya?
Hata hivyo sikuwa serious, umetumia nguvu sana

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Mbona mnanishambulia jamani? Mada inauliza nampenda nani, unaniambia niache story za mitandao kivipi wakati swali limeulizwa mtandaoni na watu tunaotakiwa kuwataja ni wa hapa mtandaoni?
Nikimtaja wa huku mtaani utamjuaje sasa?
.
.
Pia nimesema nahisi ni mtafutaji means sina uhakika bali ni hisia. I like him anyway..acha wivu taja wako unayemuadmire!

Cc: ONTARIO , Popote ulipo tambua kuwa nakuadmire!
Ningekuwa ONTARIO ningeanzia hapa hapa, ila penye miti huwa wajenzi hawapo.[emoji12] [emoji1]
 
Back
Top Bottom