ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huyo jamaa hakunaga, alikuwa active sana miaka ya nyuma. Nowadays anakuja kwa nadra, anapenda kuleta mada za drugs kule siasa. Ni moja ya great thinkers Tanzania aisee. Naona espy anakaba mapema.Aiseeee...
Sijawahi muona na venye nazururaga jf yooote