Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Hakunaga kama bf wangu

nb list iyo sio sahii yaan kimtazamo jf ina wanaume wazuuri wasomi balaa ila kuwatambua kwa comments zao ni ngum ila wengi wa maana wanafanana na comment zao

pili ukitaka kujua mtu yeye ni nani mfano ona hao wanaobandika mabango ya wachumba. Ukiona vigezo unaweza kujua huyu mtu ni nani.

Mwisho wanaume wa maana jf sio maarufu sana
 
Hahahaaaaaa!!!
Usiniambie kawahiwa!! Atakuwa ana bahati sana huyo alomuwahi.

haahhaah !na mtu kuandika kwa weledi huo unaosemea lazima kaoa! inaumiza unamtunuku mtu kumbe ASHAOA! imewah nitokea hyo!.acha kbs maumiv yake ndg yangu! yanachomaaaa! mara chache humu jf mtu mwenye strong point asiwe ameoa!....cc(....)! pambana na hali yako tu mamy! ndo maana mier leo nimekuwa mtazamaji tu!lol
 
Hakunaga kama bf wangu

nb list iyo sio sahii yaan kimtazamo jf ina wanaume wazuuri wasomi balaa ila kuwatambua kwa comments zao ni ngum ila wengi wa maana wanafanana na comment zao

pili ukitaka kujua mtu yeye ni nani mfano ona hao wanaobandika mabango ya wachumba. Ukiona vigezo unaweza kujua huyu mtu ni nani.

Mwisho wanaume wa maana jf sio maarufu sana

there u r
 
Back
Top Bottom