Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

Ni vyema uzi wako ungekuwa katika mfumo wa kura ili tuanzie huku huku JF kupiga kura ingependeza zaidi.. Hii njia huwezi pata jibu
 
Vyovyote unavyo amini sawa ila ukweli ni kwamba ukiwa shabiki wa Simba ujue wewe ni Yanga.

Simba ina Vinasaba vya Yanga, kama ni Atom lazima kuwe na Protons, Neutrons na Nucleus.
Yanga ndio Neucleus/ Core yenyewe ya soka apa Nchini.

1.Simba imeanzishwa na WAZUNGU Wahindi , WAARABU na waafrika WEUSI (watanganyika).

2. Kuanzisha jambo Haina maana Utakuwa na wafuasi au Mashabiki wengi.

Elon kaanzisha Mitandao ya kijamii lakini anazidiwa na CR7 kwa followers.

3. Ukristo ULIANZISHWA na Yesu ukiwa na mchanganyiko WA DINI ya wayahudi lakini WAKRISTO ni wengi zaidi kuliko DINI ya kiyahudi

Tanzania walianzisha TTCL lakini Vodacom inawazidi mbali TTCL na TTCL imekufa KIFO cha mende
 
Fact
 
Yanga hata ukifatilia humu jf utawakuta nenda kwenye nyuzi za makolo uzi wao umedoda wakati wenzao yanga ukipiga hatua
 
Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi bongo na nchi jirani ambao ni watulivu. Wengi wao ni watu wazima na watoto.

Simba ina mashabiki wachache wenye kelele sana na wengi wao ni vijana wa mitandaoni boda boda nk. Hii imetokana na mafanikio ya Simba yaliyokwisha ya miaka minne iliyopita!

Siku Yanga ikifungua viwanda vya vinywaji baridi na vinywaji kuwekea nembo ya Yanga nchi nzima watanunua na vinywaji vya kanjibai vitadoda na Simba kufia mbali na kurudia majina yake kama queens na Sunderland!
 
Vyovyote unavyo amini sawa ila ukweli ni kwamba ukiwa shabiki wa Simba ujue wewe ni Yanga.

Simba ina Vinasaba vya Yanga, kama ni Atom lazima kuwe na Protons, Neutrons na Nucleus.
Yanga ndio Neucleus/ Core yenyewe ya soka apa Nchini.
punguza matumizi ya piwa na ugoro.
 

Historia iliyofungwa na kuhitimishwa siku nyingi .. kwani siku hizi mechi au shughuli za Simba zina wazungu , wahindi waswahili wachache?
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi nchini kwa takwimu zangu za mitaani
 
 
Wengi wataukataa huu ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…