Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyovyote unavyo amini sawa ila ukweli ni kwamba ukiwa shabiki wa Simba ujue wewe ni Yanga.
Simba ina Vinasaba vya Yanga, kama ni Atom lazima kuwe na Protons, Neutrons na Nucleus.
Yanga ndio Neucleus/ Core yenyewe ya soka apa Nchini.
FactMashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
Governor wa kiingereza kupitia viongozi wake wa chini walitumia njia ya Divide and rule kwakua walitambua Yanga ni klabu ya michezo ambayo inajihusisha na harakati za kisiasa.
Viongozi wengi wa kilichokua chama cha Siasa cha wafanyakazi TAA baadae TANU walikua pia viongozi wa Yanga.
Walichofanya ni kuwarubuni baadhi ya wanachama wa Yanga.
Mwaka 1936 baadhi ya wachezaji na viongozi walijiondoa Yanga na kuunda timu iliyo jiita queens kwa ahadi ya kununuliwa viatu na vipesa kidogo kwa viongozi waliofanikisha usaliti.
Kwa kipindi cha nyuma queens, baadaye eagle, Sunderland mpaka Simba ilikua nitimu iliyo wahusisha zaidi Viongozi wa serikali ya kikoloni iliyo undwa na wazungu , wahindi waswahili wachache.
Kwa hali iyo bado Yanga ina wafuasi wengi zaidi kuliko timu yoyote apa Tanzania kwakua ata ao Simba ni Yanga.
Kwenye hesabu Yanga inakua ni Set wakati Simba, Pan, Red star izo ni sub set.
OkHutopata jibu hapa mdada...
Naomba kuuliza kabla sijatoa jibu, Hawa unao waita wafuasi ni wale Yanga au Simba dam_dam wanaoona hizo timu ni kama dini zao?
Mashabiki wa Yanga wanunua tiketi za mechi ya Simba kwa kasi!Mashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
punguza matumizi ya piwa na ugoro.Vyovyote unavyo amini sawa ila ukweli ni kwamba ukiwa shabiki wa Simba ujue wewe ni Yanga.
Simba ina Vinasaba vya Yanga, kama ni Atom lazima kuwe na Protons, Neutrons na Nucleus.
Yanga ndio Neucleus/ Core yenyewe ya soka apa Nchini.
Mashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
Governor wa kiingereza kupitia viongozi wake wa chini walitumia njia ya Divide and rule kwakua walitambua Yanga ni klabu ya michezo ambayo inajihusisha na harakati za kisiasa.
Viongozi wengi wa kilichokua chama cha Siasa cha wafanyakazi TAA baadae TANU walikua pia viongozi wa Yanga.
Walichofanya ni kuwarubuni baadhi ya wanachama wa Yanga.
Mwaka 1936 baadhi ya wachezaji na viongozi walijiondoa Yanga na kuunda timu iliyo jiita queens kwa ahadi ya kununuliwa viatu na vipesa kidogo kwa viongozi waliofanikisha usaliti.
Kwa kipindi cha nyuma queens, baadaye eagle, Sunderland mpaka Simba ilikua nitimu iliyo wahusisha zaidi Viongozi wa serikali ya kikoloni iliyo undwa na wazungu , wahindi waswahili wachache.
Kwa hali iyo bado Yanga ina wafuasi wengi zaidi kuliko timu yoyote apa Tanzania kwakua ata ao Simba ni Yanga.
Kwenye hesabu Yanga inakua ni Set wakati Simba, Pan, Red star izo ni sub set.
Mimi ni shabiki wa Yanga ila Simba ndo yenye mashabiki wengi zaidiMimi ni shabiki wa Simba ila Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi nchini kwa takwimu zangu za mitaani
Sawa mimi takwimu zangu za mitaani na makazini zimenionesha Yanga wana washabiki wengi. Sikubishii huenda unatakwimu zako!!!Mimi ni SHABIKI WA YANGA ILA SIMBA NDO YENYE WASHABIKI WENGI ZAIDI
Mashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
Governor wa kiingereza kupitia viongozi wake wa chini walitumia njia ya Divide and rule kwakua walitambua Yanga ni klabu ya michezo ambayo inajihusisha na harakati za kisiasa.
Viongozi wengi wa kilichokua chama cha Siasa cha wafanyakazi TAA baadae TANU walikua pia viongozi wa Yanga.
Walichofanya ni kuwarubuni baadhi ya wanachama wa Yanga.
Mwaka 1936 baadhi ya wachezaji na viongozi walijiondoa Yanga na kuunda timu iliyo jiita queens kwa ahadi ya kununuliwa viatu na vipesa kidogo kwa viongozi waliofanikisha usaliti.
Kwa kipindi cha nyuma queens, baadaye eagle, Sunderland mpaka Simba ilikua nitimu iliyo wahusisha zaidi Viongozi wa serikali
Wengi wataukataa huu ukweli.Mashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.
Governor wa kiingereza kupitia viongozi wake wa chini walitumia njia ya Divide and rule kwakua walitambua Yanga ni klabu ya michezo ambayo inajihusisha na harakati za kisiasa.
Viongozi wengi wa kilichokua chama cha Siasa cha wafanyakazi TAA baadae TANU walikua pia viongozi wa Yanga.
Walichofanya ni kuwarubuni baadhi ya wanachama wa Yanga.
Mwaka 1936 baadhi ya wachezaji na viongozi walijiondoa Yanga na kuunda timu iliyo jiita queens kwa ahadi ya kununuliwa viatu na vipesa kidogo kwa viongozi waliofanikisha usaliti.
Kwa kipindi cha nyuma queens, baadaye eagle, Sunderland mpaka Simba ilikua nitimu iliyo wahusisha zaidi Viongozi wa serikali
Hasa wakishavutishwa bangeKila Raia kwenye hii nchi ni Mwananchi,huko kwingine wanaendaga kucheza singeli na vidogori