Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

Labda angetaja kodi ipi yenye walipaji 2M
 
Kama huna TIN ya Mapato wewe sio mlipakodi haijalishi unanunua bidhaa/Huduma au laa
 
Yeye anakatwa PAYE? Aoneshe njia kama alivyojitokeza kuchanja UVIKO!
 
Sasa usipoweza kumdanganya huyo unatarajia kuja kumdanganya nani mwingine?
 
Hakuna hoja umeweka hapa so far Zaid ya ujinga ujinga tu , weka hoja angalau ya maana

USSR
Haya chukua hiyo hoja ya maana ...p diddy anakutaka chumbani kwake ukacheki movie
 
Maza hatakiwi kuongea tuna rais wa ajabu kuwahi kutokea nchi hii
 
Kuna watu wanamfanyia makusudi huyu mama..
 
Direct tax inatokana na biashara au mshahara. Umenunua maembe Tsh 1000, umeuza 1,200. Ile kodi inayolipwa kutoka faida ya Tsh 200. Umefanya kazi umelipwa mshahara ile PAYE ni direct tax.
Are you sure?

Nimetoa mshahara wangu nimeagiza gari Japan kwa matumizi ya binafsi tu kuendea church na job, nalipa nini pale TRA, direct au indirect?

Ni biashara hiyo nakuwa nimefanya?
 
Wewe ndio mkuruohkaji na huelewi.

Kama huna TIN jua hulipi Kodi.

Na wengi ambao hawalipi Kodi wako huku kweyingormal sector πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1842198741995974662?t=QbPn2cysgRp84K8Ou3D7gw&s=19
 
Soma hapa Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu
 
Lakini Serikali inahusika pakubwa kusababisha taxbase kuwa chini sababu,

1. Urasimu na uzembe na kutojali wa watumishi husika katika nafasi za kusajili kampuni za ndani,

2. Kutojishughulisha kutafiti nini chanzo Cha biashara ndogo zinazosajiliwa TRA kufa zikiwa Bado chini.

3. Watumishi wa TRA kutojali maslah ya nchi na kutanguliza maslah binafsi.

4. Mifumo mibaya ya ukusanya Kodi isiyoendana na Hali halisi ya Uchumi wa TANZANIA na Africa, copy and paste.

5. Viongozi wakuu wa Serikali kutolipa Kodi ukianzia Rais na Wabunge.
 
Wacha upoyoyo, kuna kodi na kuna tozo.

Anayoiongelea Rais mama Samia ni kodi, unayoiongele wewe ni tozo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kama huna TIN ya Mapato wewe sio mlipakodi haijalishi unanunua bidhaa/Huduma au laa
Siyo kweli

TIN ni kwa wale registered

Kuna Kundi kubwa wanalipa Indirect tax na withholding tax bila kulazimika kisheria kuwa na TIN

Hao wote ni Walipakodi

Kutokuwa na passport haimaanishi wewe siyo raia kwa hapa bongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamempa number ya large tax payer,
Nae amepokea bila kuhoji!
 
Tuna rais kila*zΓ  kweli
 
Are you sure?

Nimetoa mshahara wangu nimeagiza gari Japan kwa matumizi ya binafsi tu kuendea church na job, nalipa nini pale TRA, direct au indirect?

Ni biashara hiyo nakuwa nimefanya?
Mkuu, kodi anayoongelea raisi ni kodi ya moja kwa moja itokanayo na shughuli zinazozalisha mapato.

Umefanya kazi au biashara ukapata ujira au faida kisha ule ujira au faida ukakatwa kodi. Sio hizi kodi za manunuzi.

HIZI KODI ZA MANUNUZI IKIWEMO HIZO ZA KUAGIZA MAGARI ZINAPASWA ZIWE CHINI SANA ILA SASA UNAZISHUSHA VIPI NA WATU WANAOKATWA KODI KWA KUZALISHA VIPATO NI WACHACHE? ANACHOSEMA RAISI NI WATU WANAOLIPA KODI ZINAZOTAKANA NA MAPATO YAANI FAIDA AU BIASHARA WAONGEZEKE KWANI KWA SASA NI WACHACHE.

HUELEWI NINI HAPO BOSS?
 
Kiujumla Watanzania wanapenda kuishi kwa mazoea na hawana ubunifu, wananchi na viongozi wa serikali,

Wananchi wangekuwa na ubunifu wangewatoa hao viongozi.
 
Ndio huwezi hesabika mlipakodi.kwa sababu uko kwenye informa sector ambako hakutabiriki.

Mzee kajisajili, unadhani TRA ni wajinga waliposema Kila mwenye umri wa miaka 18 awe na TIN? Lengo ni kuwa track nyie mlioko kwenye informal sekta mnapata Mapato na hamlipi Kodi mfano watu wanauza mifugo minadani kama individuals lakini hawalipi Kodi zaidi ya viushuru vya Halmashauri
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…