Huwezi kutoza direct tax mifugo inayouzwa mnadani bila kujua muuzaji kapata faida kiasi gani. Direct tax inatozwa kwenye faida, sio kwenye mapato au hasara.Ndio huwezi hesabika mlipakodi.kwa sababu uko kwenye informa sector ambako hakutabiriki...
Bodaboda, mama ntilie, mawinga, fundi gereji, seremala, wakulima, wavuvi na wamachinga waanze kulipa direct tax.
Haya madai yangekuwa na mashiko kama watu wa vijijini ambao ndio wengi zaidi wangekuwa wana barabara za lami, maji ya bomba, shule zenye walimu na hospitali zenye madaktariHiyo indirect tax wanaolipa wengi wanatumia huduma zaidi ya wanavyolipa kodi, so on balance wanakuwa net takers...
Watu kibao wako informal sector na Wana TINNdio huwezi hesabika mlipakodi.kwa sababu uko kwenye informa sector ambako hakutabiriki.
Mzee kajisajili, unadhani TRA ni wajinga waliposema Kila mwenye umri wa miaka 18 awe na TIN? Lengo ni kuwa track nyie mlioko kwenye informal sekta mnapata Mapato na hamlipi Kodi mfano watu wanauza mifugo minadani kama individuals lakini hawalipi Kodi zaidi ya viushuru vya Halmashauri
Watu wa vijijini hizo huduma walizopelekewa sasa tu hawajaweza kuzi fund vizuri, tumetegemea sana misaada na mikopo.Haya madai yangekuwa na mashiko kama watu wa vijijini ambao ndio wengi zaidi wangekuwa wana barabara za lami, maji ya bomba, shule zenye walimu na hospitali zenye madaktari
Ina maana Watanzania 65m wote ni watu wazima? Mbona Viongozi wanatuchanganya kama vile sisi hatuelewi?1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Ni lazima wamdanganye ili waibe zaidi na wasishtukiwe na kufukuzwa kazi !1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Kwa kauli hiii niseme huyu mama hatufai sisi watanzania β¦β¦ hatakama hajasoma maswala ya tax inamana hata uelewa mdogo tu ameshindwa kujua ni watu wangapi wana lipa kodi1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Unajua tafsiri ya informal sector wewe Mzee? Ukiwa na TIN tayari unatambika ni sekta rasmi.Watu kibao wako informal sector na Wana TIN
TIN siyo Kwa biashara tu πππ
Kwani hana kichwa mpaka awe anadanganywa killa siku? Hata kwenye kubet kuna kodi inakatwa...1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?
3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Afu anasema kabisa kuna mamantilie hawataki kulipa kodi.πππ nacheka kama mazuri...yeye mwenyewe kwa nafasi yake kama Raisi halipi kodi, halafu anatufokea masikini na wanyonge wa nchi hii.
Mimi ni mstaafu, ni mjasiriamali na nina TIN πππUnajua tafsiri ya informal sector wewe Mzee? Ukiwa na TIN tayari unatambika ni sekta rasmi.
Afu anasema kabisa kuna mamantilie hawataki kulipa kodi.πππ nacheka kama mazuri.
Haya maneno kasema mwenyewe au ni mtazamo wako?Raisi anaongelea direct tax, Indirect tax kila mtu analipa.