CodeX
Member
- Sep 2, 2018
- 33
- 205
Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji.
Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za Ukatoliki,Ukristo na zaidi anaenda mbali kuweka headlines zisizo na Ukweli.
Hapa chini nitaweka baadhi ya mifano.
Nimefuatilia zaidi kuhusu hawa watu wa Cheche times nimekutana na hizi taarifa zao.
Telephone: +255 653 313 586 | Email: [email protected]. | Address: 14216 Keko Magurumbasi
Nakumbuka mauaji ya Kimbari Rwanda kuna wamiliki walikamatwa kwa kueneza chuki kupitia vyombo vyao vya habari.
Je TCRA haiwaoni hawa watu ni kuwa ni hatari kwa nchi? Au wana baraka kutoka TCRA ?