Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

CodeX

Member
Joined
Sep 2, 2018
Posts
33
Reaction score
205
Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji.

Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za Ukatoliki,Ukristo na zaidi anaenda mbali kuweka headlines zisizo na Ukweli.

Hapa chini nitaweka baadhi ya mifano.






Nimefuatilia zaidi kuhusu hawa watu wa Cheche times nimekutana na hizi taarifa zao.
Telephone: +255 653 313 586 | Email: mhariri@chechetimes.com. | Address: 14216 Keko Magurumbasi


Nakumbuka mauaji ya Kimbari Rwanda kuna wamiliki walikamatwa kwa kueneza chuki kupitia vyombo vyao vya habari.

Je TCRA haiwaoni hawa watu ni kuwa ni hatari kwa nchi? Au wana baraka kutoka TCRA ?
 
Washenzi kama hao Cheche ni wa kuwapuuza tu ,wanapokea pesa kutoka Oman.
 
Sio wote wanaelewa pitia comments za haya machapisho yao. Ni chuki kubwa sana inaenezwa.
Ukiona bado inaendelea kuwepo means hiyo account inamilikiwa na mbogamboga ,ingekuwa hawaimiliki ingekuwa ishashuswa zamani ,wewe angalia udini unaonezwa na Malaria 2 , THE BIG SHOW na Ritz ni the same na hao Cheche Times.
 
Mbona wahusika wanao shutumiwa hawajitokezi kukanusha?
 
Ukiona bado inaendelea kuwepo means hiyo account inamilikiwa na mbogamboga ,ingekuwa hawaimiliki ingekuwa ishashuswa zamani ,wewe angalia udini unaonezwa na Malaria 2 , THE BIG SHOW na Ritz ni the same na hao Cheche Times.
Nilitaka tu tumjue ili tuweke rekodi sawa. Propaganda nafahamu zipo sana kwa kipindi hiki.
 
Watanzania wengi ni vipofu na mpo nje ya wakati ....NILIELEZA HAPA JF KUWA KIKUNDI CHA WAISLAMU KINACHO ONGOZWA NA RAIA FEKI NDIYO WENYE KUYAFANYA HAYO PIA AJENDA YAO NI KUAKIKISHA NJIA ZOTE KUU ZA UCHUMI HAKUNA MKRISTO HATA MMOJA, TENA TENDA ZOTE ZA KISERIKALI KUSIWE NA MKRISTO ...NA MFUMO WA SERIKALI WAKRISTO WASIWE NA NGUVU YOYOTE NDANI YAKE.....hata haya makanisa ya kilokole mengi ni ajenda yao ya kuwa pumbaza WAKRISTO ili wazidi kupoteza muda makanisani, wakati wao wanazidi kujidhatiti Serikalini....ushahidi ni kuzuka kwa elimu kutoka kwenye hayo makanisa kuwa AJIRA za serikali ni ujinga ...mfano ...MUHUNI MWAMPOSA UTOA MAFUNDISHO KUWA WAKRISTO WASIANGAIKIE AJIRA ZA SERIKALI ...HAPO KUNA AJENDA TENA MBAYA SANA ....LENGO NI KUAKIKISHA WAISLAMU NDIYO WANAKUWA SERIKALINI KWA WINGI NA KUSHIKA VYEO NA KWA KUTUMIA VYEO VYAO BIASHARA ZAO ZA WAISLAMU NDIYO ZITAKUWA NA USTAWI TOFSUTI NA ZA WASIO WAISLAMU,
HIVYO BIASHARA ZA WASIO WAISLAMU ZITAKUFA NA KUULIWA KWA FIGISU KUTOKA KWA WAISLAMU WENYE MAMLAKA KISERIKALI.. SASA HIVI KUNA TETESI KUWA BIASHARA YOTE YA UAGIZAJI MAGARI NCHINI IMEWEKWA CHINI YA WAISLAMU MTANDAO , HAKUNA ASIYE MUISLAMU MWENYE KUPEWA UPENYO KWENYE HIYO BIASHARA ...


SASA SWALI ? KWANINI MAKANISA HASA YA KILOKOLE YANAWAIMIZA SANA WAKRISTO KUTOKUAJILIWA SERIKALINI WAKATI WATU MATAJIRI KAMA ROSTAM AZIZI NA UTAJILI WAKE WOTE BADO WANAGOMBEA VITI SERIKALI NA MABUNGENI NA CCM ?..Je Mpumbavu MWAMPOSA nanataka kutuambia hao kina Rostam Aziz ni wapumbavu kutaka kuajiliwa kwenye hizo nafasi ?
 
Ccm ni tatizo na chuki zinazowekwa zita sababisha taifa kuanguka.
 
Wewe umeona hii Tu, zile propaganda zeju za kuwkejeli wanazuoni wa kislamu kuwa ma sheikh ubwabwa hukuziona...
Je unauhakika na anachokiongea hakuna ukweli... Walichofanya cheche Time kumuweka ule ukweli kuwa wazi. Msilalamike mnavuna.mlichokipabda na hivi sasa waislamu wmegomwa kukaa kimywa. Wakifanya hivyo mkawachukulia poa, ukiwa wao mkauhisi yankuqa ni waoga na waiojiamini, ukimywa wao mkaanzakuwadharau kuwa hawana Elimu.
Hivi sasa wameshaamuqa kusema sasa sikilizeni na tulieni
 
Subiri tutamjua na Atapata haki yake. Usiwe na haraka sana.
 
Point. Umeandika kwa uchungu sana.
 
Watawapata hao hao wa type yao ambao kutwa kushinda kwenye mchiriku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…