Nani anamhujumu Rais Samia?

Nani anamhujumu Rais Samia?

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
594
Reaction score
590
Habari ya jumapili ndg zangu!

Nimeuliza swali hili Kwa makusudi Ili kujua ni nani anayemhujuma mama yetu kipenzi? Aliyeleta furaha Leo anataka atuharibie.

Je ni baadhi ya wanaccm ambao wenye uroho wa madaraka? Ambao wamejificha nyuma ya wapinzani?

Au washauri ktk ofisi yake?

Au Baraza la mawaziri na karibu wakuu wa wizara?
 
Moyo wa mtu ni kiza kinene hujui amebeba mangapi kwa roho yako

Ukimuitwa mama yeye anakuona mubantu

Kina mama huthamini zaidi kwa wajomba
 
Habari ya jumapili ndg zangu!!!!! Nimeuliza swali hili Kwa makusudi Ili kujua ni nani anayemhujuma mama yetu kipenzi??? Aliyeleta furaha Leo anataka atuharibie.

Je ni baadhi ya wanaccm ambao wenye uroho wa madaraka????ambao wamejificha nyuma ya wapinzani??.

Au washauri ktk ofisi yake???

Au Baraza la mawaziri na karibu wakuu wa wizara?
Anajihumu Yeye mwenyewe. Maana Hana uwezo wa kutofautisha magugu na mimea.
 
Uliwekwa uzi humu wa wanaomsaliti cha ajabu JF wakauondoa haraka..
Imetajwa Hadi mipango Yao ya kuhujumu Bwawa la Nyerere...na sgr
Anayemhujumu atakuwa mtu wake wa karibu na anayeutamani sana Urais anayehisi 2030 ni mbali sana tena ni zamu ya Wagalatia!

Yuda Iskarioti hatokagi mbali ref Nyepesi na Mkumbo wakiwa Ufipa st
 
Ccm ijitahimini. Mmeharibu nchi,wanaotajirika ni wale tu wachache wanaopewa nafasi. Lakini wananchi walio wengi bado ni masikini sana.

Ukipita vijijini huko watu wanatia huruma. Zamani watu walikuwa wanategemea walau kilimo kiwalishe,lakini siku hizi ardhi imeharibiwa kwa tabia za nchi kilimo chochote siku hizi lazima kitumie mbolea. Ni wachache wenye uwezo wa mbolea. Kilimo siku hizi lazima uwe na pesa pia.

Miaka kumi tu hapo mbele nchi hii kwa mwenendo huu itakuwa na watu masikini kuzidi. Huku nyie ccm mkifanya mambo yoyote ya Umma yakienda vibaya mnawasingizia wapinzani. Na bahati mbaya hata bungeni hawamo. Sasa hizo Sera za wapinzani zinatoka wapi?.
 
Anayemhujumu atakuwa mtu wake wa karibu na anayeutamani sana Urais anayehisi 2030 ni mbali sana tena ni zamu ya Wagalatia!

Yuda Iskarioti hatokagi mbali ref Nyepesi na Mkumbo wakiwa Ufipa st
Kuna mdau humu kataja kabisa wanaomsaliti na mipango Yao
Mdau anaitwa poisonous ...
Ajabu ma admin wa Jf wamefuta hiyo thread
Maxence Melo Paw Cookie
 
Ni uwezo wake mdogo wa kufikiri na kupewa majukumu kuliko upana wake ndio vinamuangusha. Anavaa kiatu size 35 kapewa size 45. Yawezekana sio kosa lake ila alipochagua pia.

Aliachiwa wasaidizi wazuri mno ambao walishapikika..yeye kwa upeo mdogo akawafanya maadui zake..akatafuta kupendwa na watu waliokuwa mbali na Magu..hakutaka kujifunza hata yale mema asije akawaudhi watu fulani.

Fukuza machinga, pandisha gharama za umeme, rudisha watu wenye tuhuma kwenye system, toa kwenye system watu wasafi na best performers, ruhusu kiholela mazao kwenda nje, toa vibali kiholela, imba wimbo wa fungulia nchi..utadhani nyumbani kwake pia anafungua nyumba bila utaratibu, ruhusu watu wamseme Magu akiamini itampandisha chat na kupendwa na watu fulani..haya kiko wapi??

Yeshachanika msamba sasa..
 
Habari ya jumapili ndg zangu!

Nimeuliza swali hili Kwa makusudi Ili kujua ni nani anayemhujuma mama yetu kipenzi? Aliyeleta furaha Leo anataka atuharibie.

Je ni baadhi ya wanaccm ambao wenye uroho wa madaraka? Ambao wamejificha nyuma ya wapinzani?

Au washauri ktk ofisi yake?

Au Baraza la mawaziri na karibu wakuu wa wizara?
1. Kule kwenye pesa
2. Kule kwenye madini
3. Kule kwenye umeme
4. Kule wilaya ya chalinze
5. Yule muuza meno ya tembo
6. Kule pangani kwenye maji
7. Mr wake
 
Wale tuliowahi kusoma Bible Knowledge mnajua kisa cha Shetani kutupwa Duniani ni tamaa yake ya kutaka kuchukua nafasi ya Mungu mwenyezi.

Ukisoma historia ya Kielimu ya Mhe. Rais utagundua ana uwelewa wa mambo ya Manunuzi/Mipango na Records Management kwa uchache. Vivyo hivyo hakuna Rais atakayekuwa anajua vitu vyote mtambuka bila kuwategemea Wasaidizi. Ndiyo maana Rais anawashauri wabobezi kwenye kila taaluma.

Kifupi, Mama anahujumiwa na Wasaidizi wake ambao wanataka kiti chake, asipoangalia 2025 fomu zitaprintiwa zaidi ya moja.
 
Miigulu na februar
 
1. Kule kwenye pesa
2. Kule kwenye madini
3. Kule kwenye umeme
4. Kule wilaya ya chalinze
5. Yule muuza meno ya tembo
6. Kule pangani kwenye maji
7. Mr wake
Hao ni vidagaa tu. Rudi nyumbani kumenoga.
 
Wale tuliowahi kusoma Bible Knowledge mnajua kisa cha Shetani kutupwa Duniani ni tamaa yake ya kutaka kuchukua nafasi ya Mungu mwenyezi.

Ukisoma historia ya Kielimu ya Mhe. Rais utagundua ana uwelewa wa mambo ya Manunuzi/Mipango na Records Management kwa uchache. Vivyo hivyo hakuna Rais atakayekuwa anajua vitu vyote mtambuka bila kuwategemea Wasaidizi. Ndiyo maana Rais anawashauri wabobezi kwenye kila taaluma.

Kifupi, Mama anahujumiwa na Wasaidizi wake ambao wanataka kiti chake, asipoangalia 2025 fomu zitaprintiwa zaidi ya moja.
Mama uwezo na upeo wake mdogo ndio unamuhujumu..kuna wakati anaongea kama kuwatisha wanaume au kushindana nao wasimuone ye mwanamke..

Ilitakiwa afuate kanuni tu bila kuwatisha kina kassim kama wakati ule alipomsema hadharani kuwa kassim na wenzio mlisema mi rais wa mpito..

Matokeo yake hata mtashindwa kumshauri au kumuelekeza..maana mtahisi ataona mnafanya hivyo sababu yeye ni mwanamke..Mwisho wa siku mnamkubalia kila anachoagiza.

Maana likiharibika inabaki kuwa mwenyewe ndio alisema au alitaka hivyo.

Mama ana kiburi fulani na dharau fulani ya madaraka..we mchunguze.
 
Habari ya jumapili ndg zangu!

Nimeuliza swali hili Kwa makusudi Ili kujua ni nani anayemhujuma mama yetu kipenzi? Aliyeleta furaha Leo anataka atuharibie.

Je ni baadhi ya wanaccm ambao wenye uroho wa madaraka? Ambao wamejificha nyuma ya wapinzani?

Au washauri ktk ofisi yake?

Au Baraza la mawaziri na karibu wakuu wa wizara?
Huu nao ni uzi? Hujuma iko wapi. Km huna cha kuandika au km huwezi kuwasilisha wazo bora ukae kimya
 
Anahujumiwa na mawaziri, wabunge, wanaCCM, Kagame, DP WORLD, Kinara wao ni TULIA ackson Mwansasu.
 
Back
Top Bottom