Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?