Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

Kwa hiyo umejiona una akili? Unataka kusema alichomewa nyumba? Unataka kusema waliingia msikitini na kuua watu bakwata ikae kimya? Hapa Zitto ni suspect ? Wakati zipo clip akiongea haya mauchochezi?
Je wale walioua waumini pale mwembechai masjid unawaogopa nhe,kama una ushahidi wa to link Mr Zito kwa matamshi hayo nenda police na fungua docket, sio kulalama humu
 
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.

Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.

Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.

Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.

Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Mamlaka iliyoko kwenye kiti haijali chochote kinachosemwa kina athari gani kwa mustakabali wa nchi
 
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.

Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.

Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.

Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.

Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?

Ibara ya 18 uhuru wa kutoa maoni ndiyo inamlinda.
 
Japo simkubali Zitto lakini maswali yako yalipaswa kuwa tofauti:
-Nani anawalinda waliochoma shamba lake la korosho na nyumba yake wakati wa utawala wa Jiwe?
-Nani anawalinda waliotuingiza mkenge wa kununua ndege mbovu?
-Kwanini serikali haifanyii uchunguzi wa madai yake ya kutaka kuuawa?(ikumbukwe kuna watu walilalamika na wakapuuzwa matokeo yake wakashambuliwa hadharani mchana kweupe na wengine wamepotea mpaka leo hawajulikani walipo).
-Kwanini polisi wa Lindi wasitoe tamko(either kukanusha au kukubali na kutoa sababu au kumuamuru apeleke ushahidi/vielelezo polisi kuwasaidia katika kulichunguza sakata hilo)

Usitoe conclusion kana kwamba una uhakika na ushahidi kuwa aliyoyasema Zitto ni uongo na uzushi.
Thread closed
 
Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.

Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.

Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.

Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.

Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Unawajua watu wa Kigoma vizuri wewe? Waha?
 
Back
Top Bottom