Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ukiona thread za wabongo kama kazaliwa juzi. Huyu zitto awamu ya 5 kaswekwa Rumande Mara ngapi?Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Niliwahi kushauri Zitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Japo simkubali Zitto lakini maswali yako yalipaswa kuwa tofauti:Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Kwa hiyo umejiona una akili? Unataka kusema alichomewa nyumba? Unataka kusema waliingia msikitini na kuua watu bakwata ikae kimya? Hapa Zitto ni suspect ? Wakati zipo clip akiongea haya mauchochezi?Kama hayo aliyoyazungumza Mh.Zito ni ya uongo, wewe mtoa hoja lete hapa ukweli, why middle class wanapenda sana watanzania wenzao wawe jela?,wewe mtoa hoja hii Mr. Zitto akikamatwa kwa tuhuma hizi wewe utanufaika nini?,mtu akamatwe kwa tuhuma sahihi na nimemshangaa Adv.Mayala naye kaaunga mkono hoja wakati unajua ni makosa kumkamata suspect bila kuwa linked na crime scene, waumini walipigwa risasi za moto pale mwembechai masjid ,binafsi sijasahau na why police watumie live bullets kwenye civilian protest?,halafu tunatungiwa vitabu na mazuzu kimyaa
Kama aliyosema yana mashiko, akamatwe na kushitakiwa kwa lipi?Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Hao Bakwata uliowataja enzi ya jiwe alikuwa kila anapokutana nao anawajaza mapesa wangepata wapi uthubutu wa kuinua midomo yao kumsema mfadhili wao!Kwa hiyo umejiona una akili? Unataka kusema alichomewa nyumba? Unataka kusema waliingia msikitini na kuua watu bakwata ikae kimya? Hapa Zitto ni suspect ? Wakati zipo clip akiongea haya mauchochezi?
Huo uchochezi na kwa mtazamo ni miongoni mwa mnaokasirika kwanini watu wanafursa ya kutoa ya moyoni,kwani aliyecharazwa masasi, 😂 mhalifu wake alishatiwa korokoroni🤔Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Kwani anachokisema ni uongo?Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM.
Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi.
Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua.
Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa dini msikitini huko Lindi.
Hakamatwi wala hachyukuliwi hatua. Nani anamlinda?
Huo ndiyo ukweli wenyewe ..angalia maneno ya speaker ndugai na maneno ya bashiru ally kisha tazamaTuacheni chuki na uislam, mtoa mada kauliza vitu vingi tu ila karibia 90% ya comments za wana jf zimeenda kwenye udini dhidi ya uislam eti kisa kusema serikali iliua viongozi wa Dini ya kiislam. Tuhuma zoote zimeelezewa kwenye mada moja tu Ndo inashambuliwa. Great thinker ya 2023 Aibu sana wana
Bado haijawa uchochezi if you can't prove kwamba aliyoyasema hayana ukweli, BAKWATA wanajulikana wako kwa maslahi ya CCM hivyo kama tukio lilikuwa na 'mkono' wa serikali hawawezi kusema lolote.Kwa hiyo umejiona una akili? Unataka kusema alichomewa nyumba? Unataka kusema waliingia msikitini na kuua watu bakwata ikae kimya? Hapa Zitto ni suspect ? Wakati zipo clip akiongea haya mauchochezi?