Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

Kwa hiyo umejiona una akili? Unataka kusema alichomewa nyumba? Unataka kusema waliingia msikitini na kuua watu bakwata ikae kimya? Hapa Zitto ni suspect ? Wakati zipo clip akiongea haya mauchochezi?
Je wale walioua waumini pale mwembechai masjid unawaogopa nhe,kama una ushahidi wa to link Mr Zito kwa matamshi hayo nenda police na fungua docket, sio kulalama humu
 
Mamlaka iliyoko kwenye kiti haijali chochote kinachosemwa kina athari gani kwa mustakabali wa nchi
 

Ibara ya 18 uhuru wa kutoa maoni ndiyo inamlinda.
 
Thread closed
 
Unawajua watu wa Kigoma vizuri wewe? Waha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…