Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia.
Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta.
Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano.
Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi huko Zanzibar?
Tanganyika yenyewe ipo wapi? Ilienda wapi?