nonsense 🐒Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia.
Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta.
Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano.
Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi huko Zanzibar?
Tanganyika yenyewe ipo wapi? Ilienda wapi?
Kwasababu Watanganyika hawahusiki Zanzibar. Soma Katiba ya Tanzania na rejea makubaliano ya muungano. Hili si la kuulizia Tena.Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi huko Zanzibar?
Munangoja nini kuuvunja? Wacha kusononeka. Kazi ni kwenu. Sisi tukitaka kuuvunja munatudhibiti. Msiba wa kujitakia hauna kilio.Mbona iko wazi kitambo tu! Zanzibar ni kupe kwa Tanganyika. Kinachohalisha huu unyonyaji wao ni uwepo wa huu muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
Lissu akiingia madarakani miaka michache ijayo Tanganyika huru itarejeshwa kwenye ramani ya dunia. Na nyinyi kupe pia mtaanza kula kwa jasho.Munangoja nini kuuvunja? Wacha kusononeka. Kazi ni kwenu. Sisi tukitaka kuuvunja munatudhibiti. Msiba wa kujitakia hauna kilio.
Hivi bandari imeuzwa? JiongezeWazanzibar wanauza rasilimali za Tanganyika.
Bandari.
Ulitaka awe nani? Jee huyo Mbarawa hana sifa ya kuwa Waziri?Wazanzibar wanauza rasilimali za Tanganyika.
Bandari.
Waziri wa uchukuzi Mbarawa Mzanzibar.
Mwanasheria Mkuu Johari Mzanzibar.
Rais wa JMT Samia Mzanzibar.
Mitanganyika ipo ipo tu.
Jee ni Kila mwenye jina linalofanana na lile la Wazanzibari ni Mzanzibari? Ujinga na chuki ni tatizo.Wazanzibar wanauza rasilimali za Tanganyika.
Bandari.
Waziri wa uchukuzi Mbarawa Mzanzibar.
Mwanasheria Mkuu Johari Mzanzibar.
Rais wa JMT Samia Mzanzibar.
Mitanganyika ipo ipo tu.
Ulitaka awe Mtanganyika lkn katiba haikuruhusu wakati ule. Utakufa kiroho. Angalia sana.Rais wa JMT Samia Mzanzibar.
Mimi namuombea aingie ili tupumue. Nikuhakikishie tu kwamba tunaomba hili litoked ili Zanzibar ipumue na iendelee. Jitahidini sana kwenye hili na mutakuwa mumeisaidia sana Zanzibar.Lissu akiingia madarakani miaka michache ijayo Tanganyika huru itarejeshwa kwenye ramani ya dunia. Na nyinyi kupe pia mtaanza kula kwa jasho.