Nani anamtumia Mwana FA juu ya ugonjwa wa Corona?

Nilipowaona juzi FA na Salaam SK nikajua tayari Zero Brain Bashite yuko nyuma ya huu ujinga.

Kwa kisomo cha Mwana FA kukubali kucheza Script ya Bashite ameshalilisha elimu yake kwa vipande vya fedha
 
Yawezekana yuko sahihi na taarifa zake...sema jamaa ni msanii na amekuwa akitia kauki za kisanii...hata uginjwa wake umetafsiriwa kisanii...mambo mengine wawe wanasemewa ili kuyofautisha usanii na mambo makini.

Unajua FA anapoongea ni kama anachana vile...[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani, umemtafuta kambi zote ukamkosa, kumbe nawe umekurupuka tu baada ya kuona thread.

Tafadhali, kuweni serious na gonjwa hili, achane usiasa siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ili uupate unatakiwa ukae bondeni siku ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa ni mwana fa ila mike Arteta coach wa arsenal aliji record hivyo hivyo akasema yuko pouwa ila amekutwa postive the same to callum odoi mchezaji wa chelsea siyo kila mtu ina mlaza kitandani its depend na immune system ya mwili wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja tu na dalili zote anazo, duuh hapa inafikirisha kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayubu 21

29 Je! Hamkuwauliza wapitao njiani?Na maonyo yao hamyajui?
30 Kwamba mwovu huachiliwa katika siku ya msiba?Na kuongozwa nje katika siku ya ghadhabu?
31 Ni nani atakayetangaza njia yake usoni pake?Tena ni nani atakayemlipa kwa hayo aliyofanya?
32 Pamoja na hayo atachukuliwa kaburini,Nao watalinda zamu juu ya ziara lake.
33 Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake,Na watu wote watafuata nyuma yake,Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.
34 Basi imekuwaje ninyi kunituza moyo bure,Kwa kuwa katika jawabu zenu unasalia uongo tu.
 
Ili la Jumapili kuwa Bongo alafu kufika jumanne kaishaenda na kurudi bongo akiwa kapata na Corona pamoja na dalili kuonekana kabisa !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata anapoulizwa kwenye mahojiano na waandishi anadai eti hairuhusiwi kutaja mahali ilipo hiyo Quaranteen, utajiuliza kwanini serikali izue hata hilo.


Alexander The Great
 
Hapa kuna mchezo unachezwa. Mtu anaumwa hajawekwa Karantini. Sijui kuna lengo gani lakini bila shaka sio zuri

Tukisema CCM NI JANGA LA TAIFA Kuna watu hawaelewi.
Ukia ngalia hii habari ya Mwana-FA na yule Isabella Mwapamba looks like there's a game being played Kati ya Serikali kwa maana ya Ummy Mwalimu na Hawa Wagonjwa wa Corona Virus Tanzania,...!
Kuna maswali mengi Sana haiwezekani mtu amekutana na watu 46(Arusha)na mwingine 64(Dar) jumla 110 lakini mpaka Leo hakuna ongezeko la MAAMBUKIZI MENGINE.,..!! Kiuhalisia haiwezekani watu wote 110 wakutane na wagonjwa wa Covic-19 kusiwe na maambukizi hata ya mgonjwa mmoja.....!! Tanzania Corona Virus sounds like a Hoax........!!!
Let's think big.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…