Mwana FA kaja kishamba kiki yake ni ya kienyeji Tatizo lake hakusoma upepo ajue kuwa watanzania wa sasa siyo mafala wana Akili kuliko yeye ajifunze kupitia hapaSasa atumiwe kupotosha jamii kwa manufaa ya nani? Na kama kweli anatumika, basi ni kwa lengo ambalo ni positive, ni kwa ajili ya kuwa-counter attack wale ambao wanajitokeza kwa ajli ya kupanikisha watu. Hao wanaotumika kutaka kuleta tafrani kwa kuwapanikisha watu, wakiwa wana message negative, wenyewe hujawaona, ila umemuona mwana FA tu. na ambaye tena ana ujumbe ulio pisitive?
Pengine alijua ni mjanja mwenye Akili sasa atajiona ni mjinga kupita kipimo atazinduka na kuwaomba msamaha watanzania ambao wameamua kwa pamoja kukataa maigizo ya kiki ya kishamba kienyeji toka kwa mwana FAMiongoni mwa watu ninaowapuuza kwenye nchi hii ni hao viumbe wanaopenda kujiita wasanii jinga kabisa hao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana FA huvuta Bangi sana uwezo wake wa kufikiri umeshuka kama wa Le mutuz, mara mia AY yupo vizuri asingeweza kufanya vioja kama hivyoMTU na njia iliyotumika sio sahii,wangemtumia kuelimisha jamii jinsi ya kujikinga ,sio hatuabie Corona km mafua.
Wangemtumia hata Fid Q au Joh Makini ila kwa FA wamebugi.
Wasanii wa bongo na watangazaji wengi ni vilaza,juzi kuna mtangazaji alikuwa anatangaza kwamba Chloroquine inatibu Corona sijuhi tunaelekea wapi??
Nimeanza ona watu washaanza kuamini,wamepotezea kunawa mikono na kujikinga.
Kitengo Bongo? Kama ni kitengo wamfukuze Leo leo kwani kawaaibisha sanaMwanaFA ni kipepeo wa kitengo, msisahau hilo.
Ulimbukeni wake FA hauna kipimo ni ulimbukeni wa karne atajuuta kujirokodi guest house kisha kuwahadaa watanzaniakwanza unajitangaza ili iweje? Mara msamaha kama yule mama wa Arusha.....hadi nahisi kichefu.....badala kuendelea na tiba unahangaika kujirekodi......
mbona mkiwa na ukimwi hamjitangazi kwa mbwembwe zote....mgenusuru wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni swala la kifamilia, analinda kibarua cha dada yake wa Mikanjuni barabara ya 12 asijetumbuliwa.Je? ni sahihi kwa mwana FA kuchukulia poa ugonjwa wa corona? tukomae na mwana FA kwanza
Haumwi yule bwana.Watanzania wenzangu kuna watu wameanza mzaha kwenye huu ugonjwa wa Corona.Serikali imetenga maeneo maalumu ya kuwapokea na kuwaweka waathirika wa Virusi vya Corona chini ya Uangalizi wa Madaktari.Najiuliza huyu Mwana FA yuko kambi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona sisi hatuna ila watu hawaelewi, ipo ya kuletwa na ndiyo tunayotakiwa kujikinga nayo.MTU na njia iliyotumika sio sahii,wangemtumia kuelimisha jamii jinsi ya kujikinga ,sio hatuabie Corona km mafua.
Wangemtumia hata Fid Q au Joh Makini ila kwa FA wamebugi.
Tanga wana ukabila sana!Hilo ni swala la kifamilia,analinda kibarua cha dada yake wa Mikanjuni barabara ya 12 asijetumbuliwa.
Angekuwa Lema wa Chadema,ungemsikia yule polisi wa kanda sijui anaitwa Mambokale na yule PPD wa Mganga,ungesikia tumemkamata kwa kuleta taharuki kwa jamii.Ujuaji wa Kitanzania tayari, Haya anatumiwa na DAB mwambie Siro amkamate