Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Yule pastari ni msela tu kama masanja, wao wenyewe wanavaa kisela na waumini wao nao wanavaa kisela sela tu. Ndio uvaaji wa mapastari na waumini wao wa kisasa. Wazee wa zamani wanaona uvaaji huo ni vituko. Shangaa praise wao wakiwa mbele ya madhabahu wanaabudisha, nguo walizozivaa ni aibu tupu
 
Kuna wakati flani kwenye maisha yangu ya dhambi nilienda kwa mganga mida ya asubuhi sasa nikakuta mganga kama kachoka sana. Kumuuliza ndo akasema usiku mzima alikesha anahudumia wachungaji.
Huyo mganga wako nae mmbea.
 
Vipi kuhusu Ananipa na Safira?toeni Sadaka jamani
Anania na Safira wameingiaje hapa?

Sadaka ya enzi zile haikuwa ikiishia kwa acc ya mtume yeyote ujue

Hawa mitume wa leo sadaka zote inaingia kwa acc zao na michepuko yao na ndio maana wakinyimwa sadaka na watu wenye akili na maarifa yale maafa ya kina Anania na Safira huwa hayawapati wenye akili na maarifa 😂
 
Soma vizuri matendo 5:1-16
Ile Sadaka ilikuwa akabidhiwe mtume Petro,wao wakacheat,wakatoa nyingine wakaibana,kilichofuatia ulikuwa ni msiba...
Sasa endelea kuficha Sadaka🤓
 
Soma vizuri matendo 5:1-16
Ile Sadaka ilikuwa akabidhiwe mtume Petro,wao wakacheat,wakatoa nyingine wakaibana,kilichofuatia ulikuwa ni msiba...
Sasa endelea kuficha Sadaka🤓
Kumbe weye huwa unasoma maandiko pasipo kuyaelewa!

Petro hakuwahi kutunza sadaka, achilia mbali mtume Paulo aka mshona mahema naye hakuwa na acc ila alipiga kazi ya kushona hema na malipo ya kazi hiyo aliwapa msaada wahitaji

Sasa niambie hao kina Boniface waliowahi kukutumia gawio baada ya kukusanya sadaka kwa miamara ya tigopesa?

Soma vizuri maandiko bhana 😂
 
Nisielewe vipi kwani hiyo verse kisa Cha hao marehemu kilikuwa Nini??hizo pesa walizoficha hao marehemu zilikuwa zikabidhiwe Kwa nani?
 
Huyu Eubert Angel si ndio yule kingpin wa Gold Mafia hapo Zimbabwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…