Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwa heshima ya Imani yangu nitakaa kimya ila hata yeye ana mapungufu yake.Ametukosea sana ...yaani.mwakasege hauwezi kumlinganisha na yoyote yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa heshima ya Imani yangu nitakaa kimya ila hata yeye ana mapungufu yake.Ametukosea sana ...yaani.mwakasege hauwezi kumlinganisha na yoyote yule
Vipi kuhusu Anania na Safira?toeni Sadaka jamaniMatapeli wa injili hutumia sana vitisho
Míriam kupewa ukoma ile ilikuwa ni mision ya Mungu kumlinda Musa, najua hao matapeli hawalijui hilo kwa kuwa wao huwaza sadaka tu na ngono.
Huyo mganga wako nae mmbea.Kuna wakati flani kwenye maisha yangu ya dhambi nilienda kwa mganga mida ya asubuhi sasa nikakuta mganga kama kachoka sana. Kumuuliza ndo akasema usiku mzima alikesha anahudumia wachungaji.
Anania na Safira wameingiaje hapa?Vipi kuhusu Ananipa na Safira?toeni Sadaka jamani
Alikwambia alihudumia wachungaji wa jinsia gani?mida ya asubuhi sasa nikakuta mganga kama kachoka sana. Kumuuliza ndo akasema usiku mzima alikesha anahudumia wachungaji.
Sikuuliza. Ila watakuwa wa kiumeAlikwambia alihudumia wachungaji wa jinsia gani?
Sio mmbea. Ilikuwa ni kweli.Huyo mganga wako nae mmbea.
Soma vizuri matendo 5:1-16Anania na Safira wameingiaje hapa?
Sadaka ya enzi zile haikuwa ikiishia kwa acc ya mtume yeyote ujue
Hawa mitume wa leo sadaka zote inaingia kwa acc zao na michepuko yao na ndio maana wakinyimwa sadaka na watu wenye akili na maarifa yale maafa ya kina Anania na Safira huwa hayawapati wenye akili na maarifa 😂
Ulijuaje ni Kweli?unamwamini sana?hujui waganga huwaga ni waongo sana?hujui kwamba anakwambia vile Ili akutie moto uhisi Jambo unalolifanya linafanywa na wengi Hadi watumishi??Use ur headSio mmbea. Ilikuwa ni kweli.
Kumbe weye huwa unasoma maandiko pasipo kuyaelewa!Soma vizuri matendo 5:1-16
Ile Sadaka ilikuwa akabidhiwe mtume Petro,wao wakacheat,wakatoa nyingine wakaibana,kilichofuatia ulikuwa ni msiba...
Sasa endelea kuficha Sadaka🤓
Hahahaa nilijua tu utajibu hivi.Sikuuliza. Ila watakuwa wa kiume
Yule pastari ni msela tu kama masanja, wao wenyewe wanavaa kisela na waumini wao nao wanavaa kisela sela tu. Ndio uvaaji wa mapastari na waumini wao wa kisasa. Wazee wa zamani wanaona uvaaji huo ni vituko. Shangaa praise wao wakiwa mbele ya madhabahu wanaabudisha, nguo walizozivaa ni aibu tupu
Nisielewe vipi kwani hiyo verse kisa Cha hao marehemu kilikuwa Nini??hizo pesa walizoficha hao marehemu zilikuwa zikabidhiwe Kwa nani?Kumbe weye huwa unasoma maandiko pasipo kuyaelewa!
Petro hakuwahi kutunza sadaka, achilia mbali mtume Paulo aka mshona mahema naye hakuwa na acc ila alipiga kazi ya kushona hema na malipo ya kazi hiyo aliwapa msaada wahitaji
Sasa niambie hao kina Boniface waliowahi kukutumia gawio baada ya kukusanya sadaka kwa miamara ya tigopesa?
Soma vizuri maandiko bhana 😂
Mkuu hiyo pissi yenye kigauni cha kijani hapo kulia ni mke wa mtumishi?
Huyu Eubert Angel si ndio yule kingpin wa Gold Mafia hapo Zimbabwe?Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security
Mkewe ana PhD.
Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro
Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.
Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Kwa nini ukae kimya? YULE NI BINADAMU KAMA WEWE. HATA YEYE NI MFANYA BIASHARA TU.Kwa heshima ya Imani yangu nitakaa kimya ila hata yeye ana mapungufu yake.
Dah!ila Binafsi hapo kwenye mavazi sijaona vazi la ajabu hata Moja,zaidi naona tu kabisa lake limejaa vijana wanaoendana na mavazi ya western styles....huyo dada kwenye Kona kilichomponza aonekana sana ni shepu yake nzuri tu maana naona gauni imevuka magoti