Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Dah, umeongea kitu kikubwa sana bro na huo ndio msimamo wangu.
 
Kizazi cha nyoka kinapingana na injili ya kristo. Haha haha haha hahah hahah hahah halafu wanajiona wanauliza maswali ya hekima kumbe ni upumbavu machoni kwa Mungu.
Hahaha haha haha haha haha
Krazer[emoji849]
 
Hakika
imani na wokovu si kwa kila mtu, Jifunze kusikiliza neno la Mungu na kulitafakali mambo ya kuchunguza watumishi utachelewa sana
Pia ukiona kutoa sadaka unaibiwa acha hamna anayekulazimisha

Most of you mnamuattack personally sijaona anayeattack mafundisho yake.

Tafuta mtumishi wako unayeona ni wa kweli sali toa sadaka yako ishi maisha yako. That all
 
Reactions: apk
Mkitafuta watu mtapata watu na karama zao, utaishia kumpa Kristo kwa sehemu tu! Ila kwenye Kanisa la kweli utampa Kristo kwa ukamilifu wake. Tafuta kulijua Kanisa la kweli badala ya mtumishi wa kweli.
 
Tuishi humo
 
Hahhahaaa halooo ulivyodadafua vzr inaonekana na ww uko kwenye inner cycle yake ..mana si kwa kujua vyote hvyo
 
We nae utakua ni muumin wake sema sababu pale kasanga mmeachwa kwenye mataa unaumia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Iko hivi, ngono ndio sharti moja kuu wanalopewa manabii(watumishi) wa uongo
As unavyowazini waumini wako ndipo title yako inaongezeka.
Kwahiyo anafanya aliloamriwa na yule aliyemtuma
 
Iko hivi, ngono ndio sharti moja kuu wanalopewa manabii(watumishi) wa uongo
As unavyowazini waumini wako ndipo title yako inaongezeka.
Kwahiyo anafanya aliloamriwa na yule aliyemtuma
Sharti zuri sana hili. Ingekuwa na kwenye kusaka Utajiri tunapewa masharti mazuri kama haya, ningekuwa Bilionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…