Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwamba Yuko chini ya eubert angel???hii mpya kwanguAnaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security
Mkewe ana PhD.
Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro
Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.
Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Kanisa lake liko Morogoro inabidi atulie na kanisa lake.Eti kutwa Yuko dodoma/dar?
Khaaaa ila watu una uhakika?
Kwahiyo mnataka kuwapangia watu na namna ya kuvaa?
Hiyo ni we unampangiaKanisa lake liko Morogoro inabidi atulie na kanisa lake.
Usichanganye na wachungaji wa dini ambao hutegemea zaidi waumini kuongezeka Kwa kuzaliana tu hao ndio Huwa hawatoki kwenda kuhubiri huko na huko ni kutulia tu hapo hapo waumini wazaliane ndipo waongezekeUna elewa maana ya karama ya utumishi.
Kuna mwalimu,nabii,mtume,mchungaji.
Kama wito wake ni mchungaji ilibidi achunge kanisa la mahali pamoja .
Atafika hawezi fika Kila Kona Kwa siku mojaKwanini asiende Kalambo, Namanyere, Kasanga, Iguguno au Balangdalalu?
Mbona mapadre wengi Wana magari wanatembelea waumini hawana Cha ajabu nini?Pastor anaendesha CLS AMG waumini wanakuja na bodaboda.
Kwa kweli sina la kuongezaVidada.vinavyovaa vimini vinamuelewa Sana jamaa.
Mwakasege mwalim bora kabisaUsimlinganishe Mwakasege na hawa wahuni mkuu.
Wewe ni msemaji wake?Atafika hawezi fika Kila Kona Kwa siku moja
Apunguze kiswanglishWewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.
Hyo ni brand yake mkuuApunguze kiswanglish
Kwamba Yuko chini ya eubert angel???hii mpya kwangu
Ila najua huduma yake haiko chini ya mtu,ila ana marafiki watumishi wa Mungu maeneo mbsliii....
Kanisa lake liko Morogoro inabidi atulie na kanisa lake.
Wewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.
Mkuu siku hizi kinachoongelewa zaidi katika Mahubiri ni logic tu. Sikiliza alivyokuwa anahubiri JOSHUA ndio wengi wanahubiri hivyo hawa wahibiri wa kisasa. Hata wewe ukiweza kuosoma.vizuri na kuielewa utapendwa katika mahubiri yako. Wachungaji wakongwe wengi walikosa hiyo kitu ila vijana wengi wamesoma wanajua kuflow na premises.Wewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.