Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwamba Yuko chini ya eubert angel???hii mpya kwanguAnaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security
Mkewe ana PhD.
Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro
Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.
Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Ila najua huduma yake haiko chini ya mtu,ila ana marafiki watumishi wa Mungu maeneo mbsliii....