Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Kwamba Yuko chini ya eubert angel???hii mpya kwangu
Ila najua huduma yake haiko chini ya mtu,ila ana marafiki watumishi wa Mungu maeneo mbsliii....
 
Hakuna wahubili siku hZ, ni waganga njaa tu, ni katika Kuta futa pesa ya kula! Ajira hakuna, vijana wanaona sehemu pekee ya kupiga pesa, ni kuuza injili! Ni upepo tu utapita, tukirudi miaka 10 nyuma, hawa wangekuwa "motivational speakers" Walikuja kwa kasi Sana, wakitoa ushauri jinsi ya kufanya biashara, Kuta futa ajira, kulea watoto, (wakati huo wao wenye we, vilaza, tu hata familia hawana), wananchi walipombumburuka, wakapotea mazima!
Sasa limekuja wimbi la "manabii vijana" Wanavaa kisera,mabango kila Kona, wanatibu nguvu za kiume, mimba, ajira nk, ndio swaga zao!
Sasa hv kuna ambao, wanakuja na swaga za ki bongo fleva, Rasta, eleni,bling bling kibao, na vi baby face vyao, wakisema wanaombea, mabinti wapate wachumba, kitakachotokea! Only God knows!
Guys, ajira, kipato duni hapa bongo, sio kwa sababu hatuendi kanisani,au hatutoi fungu la kumi, nchi hii ni maskini, ina Sera mbovu,ardhi tunayo,lakini hatuwezi kujilisha, !
Nimekaa USA, wanasuport ushoga, wanafanya sherehe za kishetani, lakini wana kila kitu, hawavipati hivyo vitu kwa kwenda kusikiliza wahubili makanjanja, waganga njaa,
 
Kanisa lake liko Morogoro inabidi atulie na kanisa lake.
Hiyo ni we unampangia
We unajua maelekezo yake ?
Kila huduma unayoiona Mungu anampa mtu maelekezo yake ya namna ya kutumika!
Ss huwezi jua ye kaambiwa anatumikaje!
 
Una elewa maana ya karama ya utumishi.

Kuna mwalimu,nabii,mtume,mchungaji.

Kama wito wake ni mchungaji ilibidi achunge kanisa la mahali pamoja .
Usichanganye na wachungaji wa dini ambao hutegemea zaidi waumini kuongezeka Kwa kuzaliana tu hao ndio Huwa hawatoki kwenda kuhubiri huko na huko ni kutulia tu hapo hapo waumini wazaliane ndipo waongezeke
 
Wewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.
 
Apunguze kiswanglish
 
Kwamba Yuko chini ya eubert angel???hii mpya kwangu
Ila najua huduma yake haiko chini ya mtu,ila ana marafiki watumishi wa Mungu maeneo mbsliii....

Mbona juzi Nabii Angel alipokuwa Tanzania alimwita my son. Halafu Tony akawa anampigia magoti arudi bongo.
 
Wewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.

Mbona yupo dar. Halafu mambo ya kushindanisha wachungaji ni ushamba. Umewahi kufanya sensa ya wachungaji wote Tanzania?. Usipende generalization.
 
Wewe umeona mavazi tu ausio??? kwa bongo hakuna pastor anafundisha neno kwa uwezo mkuwa kumshinda huyu jamaa ni kijana ila laiti angekuwa na kanisa dar ningekuwa nasali kwake...!! ni mtumishi pekee kwenye maisha yangu namuona anaongelea neno masaa 4 plus bila kutaja sadaka ni zaidi ya mwalimu wa neno. Watu wanamsifia mwakasege sana nadhani huyu atamfata ni genius aje dar aokoe vijana na kizazi hiki kwa mafundisho pia kwa ustawi wa maisha yake.
Mkuu siku hizi kinachoongelewa zaidi katika Mahubiri ni logic tu. Sikiliza alivyokuwa anahubiri JOSHUA ndio wengi wanahubiri hivyo hawa wahibiri wa kisasa. Hata wewe ukiweza kuosoma.vizuri na kuielewa utapendwa katika mahubiri yako. Wachungaji wakongwe wengi walikosa hiyo kitu ila vijana wengi wamesoma wanajua kuflow na premises.
 
Back
Top Bottom