Mickbrown
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 409
- 496
Weka pichaNani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.
Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma
Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?