Nani anamvumilia mwingine kwenye ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?

Born_T0WN

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
16
Reaction score
45
Kumekuwa na hii tabia ya wanawake wakiulizwa swala la kudumu kwenye ndoa wanasema siri ni kuwa wavumilivu. Hili sijalisikia sana kwa jinsia ya kiume. inamaanisha huko kwenye ndoa wanawake ni wakamilifu ila wanaume ndiyo wakosefu sana. Na kazi ya wanawake ni kuwavumilia waume zao.

Wakati huohuo unakuta mwanaume ana elimu nzuri, ana kipato kizuri na anaishi na mke hana elimu wala kazi yoyote ya kumuingizia kipato na halalamiki.

Wanaume tunakosea nini kwenye ndoa zetu.?
 
Kwanini nisivumilie....!!??
downloadfile-1.png
 
Sidhani kama kuna elimu ya ndoa ila ndoa inatoe elimu na kila mtu inampa elimu yake, sasa kila mtu atachagua anataka kujifunza nini ndani ya ndoa sio njee ya ndoa.
 
Back
Top Bottom