Daaaaa!Ukiwa fukara na tegemezi ndio unatakiwa uwe mvumilivu.
Aliye upper hand yeye ndiye anaamua kipi kiwe kipi kwa muda gani?
Hata wakiachana bado hapati athari.
β οΈποΈAsie na hela awe mvumilivu....
π ββοΈπNdoa is overrated
Sidhani kama kuna elimu ya ndoa ila ndoa inatoe elimu na kila mtu inampa elimu yake, sasa kila mtu atachagua anataka kujifunza nini ndani ya ndoa sio njee ya ndoa.Kumekuwa na hii tabia ya wanawake wakiulizwa swala la kudumu kwenye ndoa wanasema siri ni kuwa wavumilivu. Hili sijalisikia sana kwa jinsia ya kiume. inamaanisha huko kwenye ndoa wanawake ni wakamilifu ila wanaume ndiyo wakosefu sana. Na kazi ya wanawake ni kuwavumilia waume zao.
Wakati huohuo unakuta mwanaume ana elimu nzuri, ana kipato kizuri na anaishi na mke hana elimu wala kazi yoyote ya kumuingizia kipato na halalamiki.
Wanaume tunakosea nini kwenye ndoa zetu.?