Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na mjadala fulani wakati wa JK kuwa kati ya Jaji Mkuu, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu nani asimamie serikali baada ya Bunge kuvunjwa. Je ilikubalika awe Waziri Mkuu? Au Rais anakomaa hadi apatikane Rais mwingine?
Tuelimishane. Maana ukiwa mgombea halafu wakati huo huo ni Rais ni wazi unakuwa na nafasi kubwa ya kuinfluence uchaguzi.
Hoja hii ni vema ikaunganishwa na ile ya Askofu Gwajima kuhusiana na vyombo vya ulinzi kuwa na semi autonomy