Natamani tunapokua tunaingia kwenye uchaguzi Nchi iwe chini ya Jeshi maana halina upande wao nchi kwanza JWTwa jeshi
amiri jeshi ni Rais
Una uhakika halina upande?Natamani tunapokua tunaingia kwenye uchaguzi Nchi iwe chini ya Jeshi maana halina upande wao nchi kwanza JWTZ
Jeshinl lipo corrupted hamna kitu tena hukoNatamani tunapokua tunaingia kwenye uchaguzi Nchi iwe chini ya Jeshi maana halina upande wao nchi kwanza JWTZ
Mgombea urais ambaye amepanga tarehe ya uchaguzi na kuteua tume ya uchaguzi ndiye anaongoza nchi.Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na mjadala fulani wakati wa JK kuwa kati ya Jaji Mkuu, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu nani asimamie serikali baada ya Bunge kuvunjwa. Je ilikubalika awe Waziri Mkuu? Au Rais anakomaa hadi apatikane Rais mwingine?
Tuelimishane. Maana ukiwa mgombea halafu wakati huo huo ni Rais ni wazi unakuwa na nafasi kubwa ya kuinfluence uchaguzi.
Hoja hii ni vema ikaunganishwa na ile ya Askofu Gwajima kuhusiana na vyombo vya ulinzi kuwa na semi autonomy
Waulize akina Kimbesa,Mwashambwa,Tlatlah,Chiembe na washirika wao wao wanajiita vifaru na wapo mbele ya wakati muda wote na wanajua kila kitu na hawapitwi na chochote!Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na mjadala fulani wakati wa JK kuwa kati ya Jaji Mkuu, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu nani asimamie serikali baada ya Bunge kuvunjwa. Je ilikubalika awe Waziri Mkuu? Au Rais anakomaa hadi apatikane Rais mwingine?
Tuelimishane. Maana ukiwa mgombea halafu wakati huo huo ni Rais ni wazi unakuwa na nafasi kubwa ya kuinfluence uchaguzi.
Hoja hii ni vema ikaunganishwa na ile ya Askofu Gwajima kuhusiana na vyombo vya ulinzi kuwa na semi autonomy
Wewe hujui anayeongoza nchi muda huu na hata kabla ni mstaafu mmoja check bob hivi, msela msela. Anakoenda kucheka cheka hivi lakini ni sumu Kali zaidi ya mambaNimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.