Umeuliza vizuri Ila nadhani unalenga mtu kuja kusalimia wapo wa kupita na kukaa,
👉Dunia umebadilika sana hatupo Tena kwenye zama za ujamaa ama zile wanaita extended family,
👉 Wakati tunakua tulikuwa wamoja sana Ila baada ya kila mmoja kuanza utafutaji na maisha yake binafsi ana uhuru, mipaka, na Sheria zake kama ambavyo wewe ulivyo nazo.
👉Ikiwa unaelewa hayo mambo hapo juu basi huna budi kutoa taarifa uendapo au ukiwa unatarajia kwenda kwa mtu awe rafiki, ndugu au jamaa, mpe taarifa mapema akiwa na uwezo wa kuku accommodate ni sawa ikiwa Hana ni sawa vilevile
👉Tusipende kuwapa watu mizigo au kuwatafutia sababu kisa tuu ni ndg, shemeji ni dada uende bila taarifa watu wana maisha yao mengi ya Siri toa taarifa ajue anavyo panga ratiba zake.
TAARIFA NI MUHIMU LABDA MTU AWE SIO MUELEWA