Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Hakuna anayeruhusiwa labda malaika au mgeni yoyote anakuja na kuondoka
Kama mtu amekuja kuweka kambi huo ni uvamizi.
 
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu

Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Mimi niliwahi Kufukuzwa nyumbani kwa Mjomba wangu, kijijini kisa nilienda Bila kumpa taarifa kama naenda
Imagine ni mtu ambae nilikuwa namsaidia matibabu na chakula lakini aliniambia huwezi kuja kwangu Bila taarifa
Baadae nilikuja kupata maana tofauti kabisa na kisa cha kunfukuza kwake
Naweza kusema maeneo ya vijiji tulivyotoka msi toe taarifa Ushirikina ni mwingi mno!
 
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Hakunaaaa.
 
Absolutely no one I mean how hard it is to just text or call unless iwe Ni life n death emergency
 
kwani hapo ni hospitali
Kupata usaidizi wa haraka kwa sababu ni mtu wa karibu..... Lakini pia huduma ya kwanza na kuhudhuria huduma za kitabibu kutokea ninapoishi sio jambo baya
 
Unaongea unajua kum handle mgonjwa? au unasemea mtu anakuja clinic one week au two weeks?
Ndicho hasa nilichomaanisha, Ikiwa anatokea mbali na huduma za kimatibabu anapata karibu na ninapoishi nitampokea
 
Inasikitisha sana kwenda kwa mtu mpaka taarifa!
 
Kinachowasumbua hapa ni uchoyo tuu.... maana mnawaza mtu akija atamaliza bajeti yako ya wali-harage. Limeni, jiwekeeni chakula gharani na shambani... tunzeni pesa mnazojifanya mnazilima mjini 😀 . Haya yote hayatawasumbua. mtu kuja kwako hakuwezi kuzuia ratiba zako, mpe jembe akachimbe muhogo ale uone kama atakusumbua tena. Kama ni mjini siku hiyo mshirikishe kwenye kibiashara chako cha genge aende kariakoo alfajiri akakusanye mahitaji ya gengeni... utaona kinachofuata. Sio unamuwekea Sulltana anakaa kwenye kochi siku nzima anajambajamba humo ndani.
 
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?

Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Sijui kwa wengine ila mimi kama ni salamu karibu muda wowote, na utapokelewa na usiponikuta basi maana familia yote ni harakati mwanzo mwisho utapokelewa na Mbwa getini

Ila kama unataka kuja kutafuta maisha mjini halafu ndio unakuja na vifurushi vyako hapo taarifa ni muhimu, vinginevyo utapokelewa leo kesho, utapumzika kesho kutwa itakukuta stendi na basi la moja kwa moja urudi ulipotoka
 
Kinachowasumbua hapa ni uchoyo tuu.... maana mnawaza mtu akija atamaliza bajeti yako ya wali-harage. Limeni, jiwekeeni chakula gharani na shambani... tunzeni pesa mnazojifanya mnazilima mjini 😀 . Haya yote hayatawasumbua. mtu kuja kwako hakuwezi kuzuia ratiba zako, mpe jembe akachimbe muhogo ale uone kama atakusumbua tena. Kama ni mjini siku hiyo mshirikishe kwenye kibiashara chako cha genge aende kariakoo alfajiri akakusanye mahitaji ya gengeni... utaona kinachofuata. Sio unamuwekea Sulltana anakaa kwenye kochi siku nzima anajambajamba humo ndani.
Sasa nipo manzese single room shamba natolea wapi ?
 
Back
Top Bottom